stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,501
- 34,084
Hapana sio MKICC,kile kilichozinduliwa miaka kama miwili nyumaKile nili floors 18 mkuu. Au unazungumzia hiki kinachojengwa sahii cha MKICC.?
nmekaa kenya mzee baba, nawajua vizuri kabisa na vichaka vyote Uganda wana maisha mazuri kuliko hawa mademBro ukitaka kujua kunyan wana maisha magumu,nenda kenya then jichanganye wenyeji,sikufichi hata uwe na rafiki mkenya hasa wale bara,ukienda kenya akupeleki kwake,mtaishia huko mitaani,binafsi miaka ya nyuma kunyan wengi niliokua nao close abroad,walikua wakirudi kenya wanaenda na dar kutembea,wengi walifikia kwetu gomigo,hata kama mimi sipo,home wanawapokea tu,mimi uwa naishia kuonana mitaani
picha za 2014Are you ignoring the fact that hio ni matope! Yani barabara hadi inabebwa na mto na mnashinda mkitukosoa ni kama nyie mko perfect 😅😅View attachment 3631605View attachment 3631606View attachment 3631607View attachment 3631608
Hii utaambiwa ni filter 😂😂Skybox Lights on
View attachment 3631655View attachment 3631656outside talanta, mini stadium roofing being installedView attachment 3631657View attachment 3631658
🤣🤣🤣🤣nmekaa kenya mzee baba, nawajua vizuri kabisa na vichaka vyote Uganda wana maisha mazuri kuliko hawa madem
Aawapii technology si yenyu!Ask Kenya to help you . We are among the best in the world and get consulted for similar projects overseas like currently in Ethiopia.
There's a reason why it's called natural gas. It is not manufactured bongolala. It occurs naturally hundreds of kilometers below the Earth's surface. Before asking this question, you should have asked yourself this question: does Kenya have natural gas deposits?Tanzania ipo na geothermal electricity, Natural Gas electricity, Hydro etc. Hivi Kenya lini mnaanza kutumia Natural Gas?
Hapa wangebomoa skybox wajenge upya kama walivyotifu zile nyasi 😁
Mkuu, hii facility inajengwa pale pale ndani Tazara.?
sio kukaa tu, even met with your leaders, and most of workers wa safari hotel(The one that is along that USIU road) are familiar with me, najua hujawahi ata kanyaga apo so its understandable 🤣🤣🤣🤣🤣
Hadi wenye hawajakanyaga nje ya mipaka ya Tandale wamekaa Kenya 😂😂
apo yenyewe pamejengwa kwa mkopo wa riba mbaya 🤣 🤣 unataka waulie nnHapa wangebomoa skybox wajenge upya kama walivyotifu zile nyasi 😁
Teargas ukiwa hapo studio,hebu toa ufafanuzi kuhusu huo upara🤣🤣🤣hii ndo wanaita uwanja chotara 😂 😂 apo hata malapa hajaanza kukanyaga ushachoka
View attachment 3627077