stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,490
- 34,084
msiwe na haraka kila president atakuja tz
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/2078156774461366699?s=20
30km away from CBD huku ni Residentials, kungekuwa mapori usingekuta hii jam ambayo kundustan ipo thika tu of course your only highway!Dar kuna hadi mashamba za mihogo usishangae 🤣🤣🤣
Huu ukubwa tunahubiriwa huku ni geographical area, sehemu nyingi ni village vibes tu
Hivi kile kichupa cha kijanja cha a town ni floor ngapi?Mradi mwingine huu a 21 floors building at Upanga, Safari living 👇🏾View attachment 3631177View attachment 3631178
Jengo fulani unique kama mkuyu apartments pale Nkurumah street 👇🏾View attachment 3631181View attachment 3631180
Kile nili floors 18 mkuu. Au unazungumzia hiki kinachojengwa sahii cha MKICC.?Hivi kile kichupa cha kijanja cha a town ni floor ngapi?
Sema hawa jamaa wanajua sana kujenga, haswa mambo ya madarajaWampeleke Dodoma Stadium 🏟️.
Atakumbuka na kutenda jambo.
Naona nilikasirisha watu 😅😅
Are you ignoring the fact that hio ni matope! Yani barabara hadi inabebwa na mto na mnashinda mkitukosoa ni kama nyie mko perfect 😅😅Imagine hizo ndo slums kwa level za dar linganisha na zenu sasa