buuda umeshindwa kuleta 360 degrees view
Unasema hakuna nchi inaifikia Tanzania kwenye barabara ndani ya EA, that's wishful thinking na hizo ndo huwa zenyu...Fanya utafiti nani anaongoza EA kwa barabara....Tanzania aongoze kwa barabara zipi????Wish??Angalia plates number za Magari angalia apo utaona Kikwete bridge
..Kawasimulie na wenzako Wa Mathare
Unajiaibisha rafiki. Huko sisi tulishatoka tunaongelea mambo mazuri wewebuuda umeshindwa kuleta 360 degrees view
360 degrees buda????
Acha uongo wewe.. Kenya barabara nzuri zipo mjini tu Za kwenda mikoani ni hovyo kabisa.. Hamuwez kushindana na Tz kwa barabara za viwango vya juu za kwenda mikoani.. Ukizingatia Tz ni kubwa Mara 2 ya Kenya lakini bado tumendaza lami yenye ubora na kiwango zaid yenu..Unasema hakuna nchi inaifikia Tanzania kwenye barabara ndani ya EA, that's wishful thinking na hizo ndo huwa zenyu...Fanya utafiti nani anaongoza EA kwa barabara....Tanzania aongoze kwa barabara zipi????



