Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,354
- 33,670
Hakuna cha VIP seats hapa. Hii stadium itakuwa bakuli kila mahali.Kwani wewe ni kipofu.? 😂😂😂
Hakuna cha VIP seats hapa. Hii stadium itakuwa bakuli kila mahali.Kwani wewe ni kipofu.? 😂😂😂
Hatua Kwa hatuawhy not 400 m long berth? Hawajiongezi kuna Post Panamax?
😂😂😂 jamaa wanachekesha sana.screen za living room! ukora wa hawa jamaa umezidi maelezo! walituambia watakuwa na screen all around the roof!
Unalazimisha mambo mjomba.? Unajitia ukipofu usiokuanao.? 😂😂😂
Are these VIP seats according to you?Unalazimisha mambo mjomba.? Unajitia ukipofu usiokuanao.? 😂😂😂
plan ya mwanzo ndo ilikua ivo sema ila ikakata, BTW huo uwanja ulikua na maelezo mengi VAR, Goal Line tech sasa si unajua tena wakina Teargass washamaba wanadhan unajiwekea tu 🤣screen za living room! ukora wa hawa jamaa umezidi maelezo! walituambia watakuwa na screen all around the roof!
kama nyasi zimewashinda VAR na goal tech wataweza?plan ya mwanzo ndo ilikua ivo sema ila ikakata, BTW huo uwanja ulikua na maelezo mengi VAR, Goal Line tech sasa si unajua tena wakina Teargass washamaba wanadhan unajiwekea tu 🤣
Siyo Talanta ni Raila Odinga Stadium
hizo mbna tushawaambia toka mwanzo wasahau, moroco wenyewe hawana VAR wala Goal line Techkama nyasi zimewashinda VAR na goal tech wataweza?
They are mentioning countries which are popular, weka stats za tanzania tuone 😅Kundustan 😆😆👇👇View attachment 3627869
ofcourse no one has ever doubtedThey are mentioning countries which are popular, weka stats za tanzania tuone 😅