nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,707
- 3,236
Renovation of road under the expressway, jkia to Westlands
Huyo fala analazimisha furaha. Inabishia vitu ambavyo vipo ground 😂😂😂.Sisi tukiwa tunakosoa uwanja wao tunatumia facts na ukweli wala sio chuki, wao wanakosoa kulazimisha 1+1 iwe 11 wakati ni 2.
Imagine barabara inajengwa na picha zinapostiwa daily humu ila bado anabisha eti barabara haijengwi. 😂😂😂
Me nadhani hii maneno ya pavements msiwe mnapost, ni kujitukana 😂😂😂 saivi hizi zinajengwa kwa wingi Arusha na Zanziba kuliko kawaida.Renovation of road under the expressway, jkia to Westlands
View attachment 3628435
wewe si mzima. 😂😂Sasa wewe hapo Tandale kwa mfuga mbwa ndio unajua Nairobi?
Sisi tukiwa tunakosoa uwanja wao tunatumia facts na ukweli wala sio chuki, wao wanakosoa kulazimisha 1+1 iwe 11 wakati ni 2.
Imagine barabara inajengwa na picha zinapostiwa daily humu ila bado anabisha eti barabara haijengwi. 😂😂😂
hizo screens Talanta haina za size hiyo!Nimeskia pia hizi terraces za chini hapo zitafungwa VIP seats. 👇🏾View attachment 3628477
Ati sceens za Talanta stadium ni 43 inch 😂😂😂👇🏾hizo screens Talanta haina za size hiyo!
screen za living room! ukora wa hawa jamaa umezidi maelezo! walituambia watakuwa na screen all around the roof!Ati sceens za Talanta stadium ni 43 inch 😂😂😂👇🏾View attachment 3628500
You are even ashamed of standing strong with your stadium 😂😂Ni wewe utaamua, uweke nini bwana mkubwa. 😂😂😂
VIP seats gani na tayari washaanza kufunga bakuli hapo? 🤣😂😂Nimeskia pia hizi terraces za chini hapo zitafungwa VIP seats. 👇🏾View attachment 3628477
Just because you are living in a 5*5 single room obviously TV yako ya 24' itaonekena kubwa kuliko ya mwenye ako na living room 50*50 with a 100' TV.Ati sceens za Talanta stadium ni 43 inch 😂😂😂👇🏾View attachment 3628500
Naikia hii ndio the only stadium in the world unaweza kua ndani na nje at the same time...Unajua kitakachokukuta ukiingia kwenye huo mtego, bora ukimbie hivyo hivyo. 😂😂😂 ntawalaza na viatu wapuuzi nyie.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3628328View attachment 3628329View attachment 3628330View attachment 3628331View attachment 3628332View attachment 3628333
Kwani wewe ni kipofu.? 😂😂😂
Hakuna cha VIP seats hapa. Hii stadium itakuwa bakuli kila mahali.Kwani wewe ni kipofu.? 😂😂😂
Hatua Kwa hatuawhy not 400 m long berth? Hawajiongezi kuna Post Panamax?