Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,666
- 107,106
si anajiongelesha na yeye aonekana anaijua arushaHuyo jamaa ni mpumbavu. Hivi nani atajenga uwanja wa AFCON wa millions of $$$ halafu asiweke barabara?
dadekHiyo apo. View attachment 3628605
hizo screens Talanta haina za size hiyo!
Majirani sometimes huwa mnatia aibu sana how is it possible that you lack a sense of scale or perspective yani wazee wazima ni hadi tuwafanyie breakdown ya Relative scale of a scoreboard tuwachambulie human perception 😅.Ati sceens za Talanta stadium ni 43 inch 😂😂😂👇🏾View attachment 3628500
jamaa anazingua anapiga shots mpaka unabaki unashika kichwa, sema ndo ivo hajaingia pale stadium😂😂😂 BERTIN kashachafua huko mamamae. Kuanzia leo nyie wanuka mavi mukome kutaje vile vijiji vyenu in the same sentence with Arusha. Stupid kunyarendans.