nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,704
- 3,232
Hujanotice waliacha kuongelea vitiDoes Arusha even have VIP seats, leave alone VVIP?
Sasa ni nyasi
Hujanotice waliacha kuongelea vitiDoes Arusha even have VIP seats, leave alone VVIP?
Matusi ya tajiri GSM wa katoro na washkaji zake. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DasbHmasvh2/?igsh=NXUzZHI4bnlhdWZ1.
Kivipi mkuu.?Sema huu ni upumbavu
Waarabu, Wahindi, Wazingu, hata Dangote umewahi kuona wanafanya huu upumbavu.Kivipi mkuu.?
Show me any section of the stadium yenye haina viti at the momentTulia uwanja umalize kuwekwa viti ndio uje ulete huu mjadala wewe makende.
Ni kama unajitia kidole halafu unanusa. 😂😂😂. Haya lia sasa. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/Dau_3Npgiqs/?igsh=bGhqNDF6aDdicHZ4.
TRA wakiwafuata utaskia wakibweka! Matajiri wenye akili hawajimwambafy namna hiyo!Sema huu ni upumbavu
We taahira unajifanya unaijua bongo.com wewe fala. 😂😂😂 haya hii hapo, this is the most recent photo of Arusha Stadium.Show me any section of the stadium yenye haina viti at the moment
Ni kama inakuuma eeh.? 😂😂😂Hiyo video mmeizungusha sana humu. Tuleteni picha na videos zingine za ujenzi tuone
Ni ulimbukeni.TRA wakiwafuata utaskia wakibweka! Matajiri wenye akili hawajimwambafy namna hiyo!
Hii hapa nyingine imepostiwa jana tu. 😂😂👇🏾Show me any section of the stadium yenye haina viti at the moment
I can see the seats are getting cleaned.
So this section will have regular, VIP or VVIP? I want you to choose one.Arusha stadium pitch safii.. imekubali balaa .. halafu kuna wale wazee wa kuitifua pitch yao kila siku. 😂😂😂.. cheki maneno. Hapo bila filter wala nini View attachment 3628397
Ni wewe utaamua, uweke nini bwana mkubwa. 😂😂😂So this section will have regular, VIP or VVIP? I want you to choose one.
Sisi tukiwa tunakosoa uwanja wao tunatumia facts na ukweli wala sio chuki, wao wanakosoa kulazimisha 1+1 iwe 11 wakati ni 2.We taahira unajifanya unaijua bongo.com wewe fala. 😂😂😂 haya hii hapo, this is the most recent photo of Arusha Stadium. View attachment 3628360View attachment 3628361
I noticed long time ago. Sijui next wataongelea nini 😂😂