stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,386
- 36,671
Wueh! Su!cide!this is azam complex, Only private stadium holding CAT certifcate and located outside the city
View attachment 3627845
View attachment 3627846
View attachment 3627847
inaitwa suicide missionWueh! Su!cide!
sema hii reli ndefu kinoma, yaani bora imekua ya spidi maaana kutoka dar kufika dodoma ingekua yale yale ya sku nzimaUjenzi wa SGR lot 6 Tabora-Kigoma View attachment 3628225umeanza kitambo. Japo wako nyuma ya muda. Rais akienda kwenye hiyo jiwe la msingi wanaweza kutoa percentage ya mradi.. labda utakuwa kwenye 20%
Naona atazindua pia bandari kavu Kigoma na Meli mpya ziwa Tanganyika.
View attachment 3628224
Kuna ile miradi ya kujenga Dar es salaam "DM ???"Plus makusanyo yote ya mapato na Mamikopo lukuki, pesa wanapeleka wapi hawa watu,
Hakika kipindi cha huyu mama we lost it off big time, watu
unamaanisha hawa sio KDF wakila stiki?It’s about breaking down a soldier in order to rebuild a one disciplined unit and ensure only the desirable make it . KDF uses the US Ranger school training manual… it’s effective in molding capable warriors.
But the video you posted recently ya Viboko was not KDF so that aside being a true soldier is not for everyone…