Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bila shaka list ya viwanja vikali Afcon itakaa hivi.
1. Arusha stadium
2. Fumba stadium (even Fumba stadium will be more beautful than Talanta)
3. Hoima stadium
4. Talanta stadium

List ya viwanja vikubwa zaidi itakua kama ifuatavyo.
1. BW Mkapa stadium with 65,000 seats
2. Talanta stadium 60,000 seats
3. Kasarani stadium 48,063seats
3. Namboole stadium (UG) 45,202 seats
4. Arusha stadium 35,000 seats
5. Fumba stadium 35,000 seats
6. Hoima sttadium 20,000 seats
Who am I to argue with the Baboon?
 
this is HOIMA grass

View: https://www.youtube.com/shorts/L3zGVdh_cgA

this is NAislumIMA grass
1783944684824.png
 
Plus makusanyo yote ya mapato na Mamikopo lukuki, pesa wanapeleka wapi hawa watu,
Hakika kipindi cha huyu mama we lost it off big time, watu

Ujenzi wa SGR lot 6 Tabora-Kigoma
Screenshot_20260713-153449.png
umeanza kitambo. Japo wako nyuma ya muda. Rais akienda kwenye hiyo jiwe la msingi wanaweza kutoa percentage ya mradi.. labda utakuwa kwenye 20%

Naona atazindua pia bandari kavu Kigoma na Meli mpya ziwa Tanganyika.

Screenshot_20260713-153501.png
 
Back
Top Bottom