Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,981
- 107,459
Huu uwanja wenu kila nikiuona nacheka, ni uwanja mzr ila finishing mbv sn, inahitaji wakenya mpige kelele mambo yasiende kijuakali, cku Africa imeamka wanataka levels na sio bora liende.
Wanafanya in phases naona hotel ni phase 2 na kwa kuangalia hizo tower zitakua hotels na kuna exihibition na conference centre ingekuwa poa tungepata maelezo ukiwezaKimya kimya.
View attachment 3626803
Dubwana hilo.. ***** sio kama kale ka hall ka kunya renda. View attachment 3626863View attachment 3626864View attachment 3626865…
View: https://www.instagram.com/reel/Dan_Vc0uoxU/?igsh=MTVzbGp4YWJvYmp4. Nilimwambia bro Geza Ulole. Kwamba lengo la huu mradi ni kukamilika kabla ya Afcon .. wakuu wame confirm huu ukumbi utaisha mwezi wa 7 mwakani.
Kabisa yaani, tupate na mabasi ya mwendokasi sasa.
Yani this time around hamuwezi amini 😅😅😅Edited!
You can't be this stupid.
Hayo magoli ni ya nini hapo?
Mbona basi mnalilia Dangote ? Si serikali ijenge hio plant ya hio level basi😅😅Then later you complain why money is moving outside the country 🤣 🤣 the main investor anatakiwa kua serikali but for kenya the damage has already been done, apo kila mtu anakuja anajichukulia anaondoka 🤣🤣
sisi tumelilia? have you forgoten aliekua analia iwe tanga ni president wenu?Mbona basi mnalilia Dangote ? Si serikali ijenge hio plant ya hio level basi😅😅
yes sana, infact kwa mambo yanavoenda saahv hii route ya dar, dodoma , moro i think ni heri iwe njia ya usafiri kabisa, Yaani uhitaji ni mkubwa kuliko kama vile vile BRT ilivoanzaga tukawa tunajazana ndanArusha na Kilimanjaro should be linked na SGR kutoka Makutupora pia Iringa na Mbeya via Dodoma . Hii SGR itasaidia sana kukuza uchumi na kurahisisha usafirishaji
Nimewahi kuskia kuwa, mkakati wao ni kutengeneza SGR ya nothern region from Tanga to Arusha or Manyara, ili northern Tanzania ijitegemee ..Arusha na Kilimanjaro should be linked na SGR kutoka Makutupora pia Iringa na Mbeya via Dodoma . Hii SGR itasaidia sana kukuza uchumi na kurahisisha usafirishaji
kwa jinsi mambo yananvoenda bora zile double deck zianze tu kazi mapemaArusha na Kilimanjaro should be linked na SGR kutoka Makutupora pia Iringa na Mbeya via Dodoma . Hii SGR itasaidia sana kukuza uchumi na kurahisisha usafirishaji
wazo zuri means central corridor inakua ya wote sasaNimewahi kuskia kuwa, mkakati wao ni kutengeneza SGR ya nothern region from Tanga to Arusha or Manyara, ili northern Tanzania ijitegemee ..
Hawa wabongo wakiongea utafikiria hawana ushamba.
View: https://www.instagram.com/reel/DaqRHGdigE4/?igsh=MXUyazI1ZGY3ZW4yZA==
View: https://www.instagram.com/reel/DZZk91-sg4d/?igsh=OWVpb2VoeHJua2hp