Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,661
- 107,089
Hawa wabongo wakiongea utafikiria hawana ushamba.
View: https://www.instagram.com/reel/DaqRHGdigE4/?igsh=MXUyazI1ZGY3ZW4yZA==
View: https://www.instagram.com/reel/DZZk91-sg4d/?igsh=OWVpb2VoeHJua2hp
Nderemo zetu zilitoka hapa 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/Dap_0m2CE6V/?igsh=Y2xsNHc0NGhianNs
Kundustan ndiko watu hawana Ardhi ya kujenga nyumba huko matajiri wataendelea kuwakamua Hadi mkome 😂😂This is a good news to Kenyans. But even with the falling rates, investors will always favour Kenya instead of Tanzania.
Nimeona hiyo comment yake Hadi nikashindwa kuamini.Yani this time around hamuwezi amini 😅😅😅
Wewe endelea kuishi mwenye uswazi la kukodi.Kundustan ndiko watu hawana Ardhi ya kujenga nyumba huko matajiri wataendelea kuwakamua Hadi mkome 😂😂
Kundustan mnaishi kwenye congested mabweni mnaita apartments 😆😆Wewe endelea kuishi mwenye uswazi la kukodi.
Have you ever seen Apartment with your naked eye before?Kundustan mnaishi kwenye congested mabweni mnaita apartments 😆😆
Naonaga mabweni unayo post humu ukiita apartments mara affordable and such nonsense 😆😆Have you ever seen Apartment with your naked eye before?
Sio ziamze kazi, ulikuwa ni ujinga kutozileta zote.kwa jinsi mambo yananvoenda bora zile double deck zianze tu kazi mapema
View attachment 3627693
View attachment 3627694
hizi route ya wasukumaSio ziamze kazi, ulikuwa ni ujinga kutozileta zote.