stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,391
- 36,700
Reason, utaambiwa ni Google HQ, na M-Pesa monopoly.Unashangaa hiyo wakati mikutano ya serikali wanatumia Teams, Zoom meetings na email za serikali wanatumia Gmail.
Na utasikia wakijtapa wapo mbele kwenye teknolojia. 😂😂😂
Edited!
Huyu maza muda wote huu hizi slots hata zilikuwa hazijaanza na mikopo yote ile??🚮
Bongolala, that's SoFi stadium in USA. Amka utakojoa kitandani 😂😂😂wewe tu, unataka kukutana na nn kingine
View attachment 3627613