si wanajikuta wanajua siasa kuliko kula, kwanza nyangau mkenya na NairobiWalker na nairobae wameleta picha za filta apa weeee tunawachora mwishowe picha za kufukua uwanja wanazileta wao wenyeweYani wameshaanza na message za pre election uncertainities kabla ya AFCON!!!!!!!!!!!!!!! Kagame andaa uwanja fasta.
Mbona asitumie na kampuni ni yake? π€£π€£πHawezi kutumia pesa yake mwenyewe kujenga.
Ushaijenga refinery kama hiyo ya Dangote before? Ama kuna yenye mshaijenga Tanzania before?πotherwise itachukua hata 20 yrs ndio amalize project hiyo.
Na ni chawa alafu muongo muongo sn.Usisahau huyu ni mwanasiasa.
Si analipa madeni ya mwanzo ulitaka pesa atoe wap?Mbona asitumie na kampuni ni yake? π€£π€£π
Mbona nisome yet kuna picha ya mwarabu hapo?π¨π¨π¨
Kiswahili mnajifanya hamuelewi soma kizungu uelewe hapa π π
View: https://www.instagram.com/p/Danq7POlbl-/?igsh=MW53Zzh3eTU0MzMwOA==
kwan dangote amekwambia anayo hio pesa tayar πHivo ndio Dangote amekuambia?πππ€£
Hahahahaaaa duuhh hapa wakenya ruhusa kulia alooo, hii ndiyo hybrid?π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Kwani Watanzania Wana rangi gani?Mbona nisome yet kuna picha ya mwarabu hapo?
sio hybrid tu π π inaitwa Synthetic fiber grassHahahahaaaa duuhh hapa wakenya ruhusa kulia alooo, hii ndiyo hybrid?π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Mbona asitumie na kampuni ni yake? π€£π€£π
So wewe unajua zaidi kuliko Dangote, when did you do your research to conclude that hiyo refinery yake haitakuwa na soko?Wewe lofa kweli...
Yani atumie zaidi ya nusu ya utajiri wake kwenye refinery ya kunyaland ambayo haina uhakika wa soko!?
Ndo mana nmecheka, yn very low quality aisee, Africa bhn π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£