Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zile ni sherehe kwenye maadhimisho. Sisi ndio vinara Africa na ndio jeshi lenye history ya kipekee kwenye medani ya vita. Angalia chief defense force na chief of staff wa South Africa, Namibia, Angola, Zimbabwe, Mozambique, Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Congo DRC wote trained Tanzania.
 
Could be cheaper building a new one Unapigia mbuzi gitaa.
 
Kule USA nmeona viwanja vya kisasa kabisa kama kile cha Morocco au cha Arusha, Africa tuachane na haya maviwanja kama mabakuli yashapitwa na wakati.
Mbaya zaidi uwanja kama wa Mercedes Benz umejengwa tangu 2014, more than a decade ago, and too looks futuristic,
Halafu inakuja nchi fulani fukara ya ulimwengu wa tatu yenye uchumi duni kama Kenya inajengewa na wachina kiwanja kimezeeka hata hakijaisha, Kisha wajaluo kama Teargass wanajisifu tu sababu kimepewa jina la their late favorite politician clown 🀑
 
and whats funny raila alikua mbunge wa kibera
 
Ila humu kuna wenzetu walikuwa wanasema US ina viwanja vibovu vya kizamani kisa wamesikia viwanja vya Qatar vina AC kumbe hayo madude yote ya USA yana close/open roof na full AC kama ulivyosema tangu 2014!
 
hata cha ngong kilitakiwa kua ivo ila mpunga ukakata ikabidi wachukue nyasi za nyeri
 
Ila humu kuna wenzetu walikuwa wanasema US ina viwanja vibovu vya kizamani kisa wamesikia viwanja vya Qatar vina AC kumbe hayo madude yote ya USA yana close/open roof na full AC kama ulivyosema tangu 2014!
Hii World Cup imenifanya nione Africa tuna survive aisee,
Imagine nchi inajenga uwanja kama Huu na ndio the best they have πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…