Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,057
- 17,770
Moja iliyokamilika kwenye hiyo frame hii hapa. Hesabu utuambie ni floors ngapiAu hili neno majority limebadilisha maana sikuhizi.? Watu wakiamka watakujibu.. kupigizana kelele na vitu vinavyoonekana kwa macho mawili kiukweli siwezi.