Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Au hili neno majority limebadilisha maana sikuhizi.? Watu wakiamka watakujibu.. kupigizana kelele na vitu vinavyoonekana kwa macho mawili kiukweli siwezi.
So in short Huna nguvu ya kujibu that picture? Unangoja watu waamke wakusaidie?🤣🤣😂
 
Mkuyu tower
IMG_6897.jpeg
progress 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DaVD6pNqlKs/?igsh=Z2h2NWFuY3hid25k. The 3rd tallest building in kariakoo.
 
Google ipo, tumia google kuhakiki, usinilaumu mimi.
It's upto you to prove us wrong. Vile tulisema there's no construction of tall buildings happening in Tanzania we were very sure of it. It's now your responsibility to prove us wrong by providing the construction updates of those tall buildings, sio kutuwekea renders that were designed in 2007 and up to date nothing is ongoing to actualize them😂
 
So in short Hina nguvu ya kujibu that picture? Unangoja watu waamke wakusaidie?🤣🤣😂
Unajua nilipozitoa.? Niweze kuzifukua huko zilipokua nishindwe kujua progress zake.? Ulishawahi kumuona nani kapost hizo picha tofauti na mimi.?
 
Unajua nilipozitoa.? Niweze kuzifukua huko zilipokua nishindwe kujua progress zake.? Ulishawahi kumuona nani kapost hizo picha tofauti na mimi.?
Hakuna haja kutupea maelezo mingi. Just post the construction progress and let the pictures do the talking? Why are you explaining yourself a lot?🤣🤣😂
 
Wanuka mavi bhana. Kutoka kutuambia hatujengi chochote hadi kupinga urefu wa magorofa. 😂😂😂 wanuka mavi wanaumia kuona kumbe tunakimbiza kimya kimya.
 
Wanuka mavi bhana. Kutoka kutuambia hatujengi chochote hadi kupinga urefu wa magorofa. 😂😂😂 wanuka mavi wanaumia kuona kumbe tunakimbiza kimya kimya.
Mnatukimbiza na render?😂😂🤣

Hata Turkana has renders like those 😂
 
Sisi tunajenga haswaa na wala hatupigi kelele kama kitaifa cha wanuka mavi, watu washamba kutoka vijijini. Projects zote nilizoweka wala watu wengi humu hawazijui kwasababu hakuna mtu mwenye muda wa kushangaa magorofa mjini. Imenibidi nikaisake huko kwene website zao niilete hapa. Wanuka mavi wanatapatapa kama wafa maji.

And guess what, projects nilizopost ni chache sana ukilinganisha na projects ambazo ninazo hapa kwa gallery yangu.

Nitazipost next time wakijisahaulisha tena. 😂😂
 
Watu hawaijui cause they don't exist 😂😂🤣
 
Back
Top Bottom