Twende moja moja. Hiyo niliyopost ni ya kwanza. Post yako nikupe jibu.Kutangulia si kufika. 😂😂😂 lata sasa hizo full glass cladded buildings za kunya tulunganishe na zilizoko Bongo.
I have a job my friend siko huku all the time kama wewe when I am not busy nitakuwekea ila kwa sasa hivi shushia drink na hiyo niliyotuma.I have told you to show us more than 3 lakini wewe unatuonyesha moja alafu unajipiga kifua. I can show you one picture with 20 tall buildings under construction in Westlands alone. Wewe umetafuta Dar mzima ukatoka na hii building moja😂😂
Twende kazi.Twende moja moja. Hiyo niliyopost ni ya kwanza. Post yako nikupe jibu.
Noisy city, no glass buildings
hawana glass buildings bado, Nairobi bado haijafika ile mega city status, The only option is to start a new city, Project zote za kufanya iwe mega city haziwekezan kwa jinsi palivo saahv, mfano Modern buildings, transport systems haziwezekan in the current structureKutangulia si kufika. 😂😂😂 lata sasa hizo full glass cladded buildings za kunya tulunganishe na zilizoko Bongo.
Hiyo ni glass building bro?😂😂😂Twende kazi. View attachment 3621259
sasa glass Buildings Nairobi amna what are you battling apoHiyo ni glass building bro?😂😂😂
Nataka uchague wewe kazi ni kwako.Hiyo ni glass building bro?😂😂😂
hawana glass building no need for it, overall Nairobi bado haijafika mega city status so no needNataka uchague wewe kazi ni kwako.
That's the excuse yenye Lazima ungetumia. So when you were searching for the one you posted ungepata zingine? Ama you need hours to search buildings under construction?😂😂🤣I have a job my friend siko huku all the time kama wewe when I am not busy nitakuwekea ila kwa sasa hivi shushia drink na hiyo niliyotuma.
zege buildings or glass buildings?That's the excuse yenye Lazima ungetumia. So when you were searching for the one you posted ungepata zingine? Ama you need hours to search buildings under construction?😂😂🤣
This section of Westlands alone has more tall buildings under construction than the total number of 100 meters plus buildings in entire Tanzania.
View attachment 3621281
Leo mmeamua kunyonga mbuzi na kamba😂😂🤣