ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,309
- 89,716
Na wanunuzi ni mabilionea wa South Africa na TanzaniaWenyewe ukiwakuta humu wakijisifia kampuni zinazotengeneza mapato makubwa 🤣🤣🤣 kumbe nchi sahiv tunaipiga mtungo.
15 floors building ndio unaita jengo refu? Show me any county in Kenya that is not built a 15 floor buildings.Zanzibar wameshaanza kujenga majengo marefu na wenyewe, hii inaitwa GOFU comercial tower. 15 floors.. jirani zetu north wao wangoje affordable housing projects kwenye hivyo vijiji vyao 😂😂View attachment 3620385View attachment 3620386
Arusha stadium ndio hiyo 👇🏾
View: https://vt.tiktok.com/ZSC9Ce3nm/. Wameshaanza kuweka running track.
sasa nyie mna jengo gan refu? majengo yenu yote ni antena tu kwa juu15 floors building ndio unaita jengo refu? Show me any county in Kenya that is not built a 15 floor buildings.
Siaya County is building 13 blocks of 17 floors at once, wewe unatupigia kelele za 15 floor building in entire Zanzibar.
After losing out on the refinery, bongolala, who think Dangote has endless money, hope he can do something.. anything in their country.
We have over 50 buildings under construction in Eastleigh, Nairobi... that are taller than this "jengo refu". None of them government affordable housing.Zanzibar wameshaanza kujenga majengo marefu na wenyewe, hii inaitwa GOFU comercial tower. 15 floors.. jirani zetu north wao wangoje affordable housing projects kwenye hivyo vijiji vyao 😂😂View attachment 3620385View attachment 3620386
Sisi hatujengi affordable housing mzee, halafu ndio tujisifu kama nyie.15 floors building ndio unaita jengo refu? Show me any county in Kenya that is not built a 15 floor buildings.
Siaya County is building 13 blocks of 17 floors at once, wewe unatupigia kelele za 15 floor building in entire Zanzibar.
Hizi ni nini zenye umeandika.?We have over 50 buildings under construction in Eastleigh, Nairobi... that are taller than this "jengo refu". None of them government affordable housing.
Kwanini kila siku ni kuanika tu umaskini wenu hapa. Bongolala hadi kwa dna.
I'm forever amazed by the things that excite bongolala uber drivers. 😂