stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,397
- 36,753
sasa kama wana bisbehave wanategemea nn
View: https://x.com/ntvkenya/status/2071087379381928038?s=20
View: https://x.com/ntvkenya/status/2071087379381928038?s=20
And who said it's not MGR? Or just because it's MGR it should look like it's from some glorified fishing village? 🤣 🤣Hiyo ni MGR ilijengwa na German ni ya zamani sana since 1899
Hizo za MGR hutaki mbona? Ama ni za 1970s as always?😂🤣kwa picha za SGR hauna dada?
Kama umeishiwa pumzika, napost SGR wewe unaleta SGR shida nn?Hizo za MGR hutaki mbona? Ama ni za 1970s as always?😂🤣
Bongolala, this thread compares Nairobi and Dar is slum. Has it put a limit on what should and shouldn't be compared between these two cities? I have just posted the current state of your commuter trains. Why do you feel offended? Ama hizo sio viti za commuter trains za Dar? Huenda nimekosea 🤣🤣Kama umeishiwa pumzika, napost SGR wewe unaleta SGR shida nn?
Hongereni kama ni kweli mnapasafisha mana hapa ni pachafu sana wakati barabara nzuri tuu.Passed by here and it’s unfortunate for you but this area is being fixed.. kenya is at the move my friend, you keep on circulating an old picture unafikiria huku ni bongo where things change in 15 years?
And they are actually repairing the whole drainage sio pavements tu
View attachment 3617110View attachment 3617113View attachment 3617114
Now i understand, i can relate also in the quality of education given thereBongolala, this thread compares Nairobi and Dar is slum. Has it put a limit on what should and shouldn't be compared between these two cities? I have just posted the current state of your commuter trains. Why do you feel offended? Ama hizo sio viti za commuter trains za Dar? Huenda nimekosea 🤣🤣
Out of jealously, utasikia comments kama hizii: "Sasa mbona mjenge barabara kubwa na interchange mahali hakuna magari nyingi? Hizi ni misplaced priorities. Sisi bongo tunajenga kulingana na mahitaji. Hatujengi ili kufurahisha watu..." 🤣🤣🤣🤣🤣
Tunajenga overpass kutokana na mahitaji sio nyinyi munachukia ma loan ya ovyo munaenda jenga overpass eldoret mukitegemea itafaa miaka 30 inayo wakat hzo infastructure zinaisha na kuchoka 😆😆
Aliekwambia amepost same road ni nani ww utabakia kupost interchange za kupanga matofali mm niliwah kukwambia Tanzania tunajenga kutokana na mahitaji na sio sifa 😁😁😁😁 yanu kisumu ni mtoto kwa arusha tukionana kwenye hotels 5star ndio hutoki kabisa ww ukija kwenye infrastructures ndio huponi, ukija kwenye density na sub urbs, arusha isikie tu 😁😁😁😁
Hvi ww unaijua interchange ilivo???😁😁😁 unatuonesha overpass unasema interchange
Alaf kingine sisi tunajenga kutokana na mahitaji sio kama nyinyi munajenga overpass kwenye sehemu hakuna hata mahitaji ndio maana leo unashangaa debt to GDP ration iko 64% 😁😁😁
Sisi tunajenga kutokana na mahitaji sio nyinyi munainhia kwenyw mikopo kueka overpass kwenyw sehemu hakuna uhitaji, mbaya zaidi overpass zenyewe sasa za kupanga tofali juu🤣🤣🤣🤣 nani aliwaroga nyinyi
Now i understand, i can relate also in the quality of education given there
View: https://x.com/Globalstats11/status/2070071032409694320?s=20
si unajua tena mna poor education so you wont understand itWhat is global statistics?
Material yake ni ya miaka ya 1989 hayapatikani tena. Hebu tuonehse MGR ya kenya iliyojengwa na Malkia Elizabeth watu wanataka kucheka humu JFAnd who said it's not MGR? Or just because it's MGR it should look like it's from some glorified fishing village? 🤣 🤣