Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha kujifanya alamanga...jaribu tena bahati yakoutadinywa mpka uelewe
2407658_tapatalk_1588389991510.jpg
JamiiForums38880585.jpg
 
Wakati Mwanza haina overpass or interchange hata moja,,eti na Ni city😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tunajenga overpass kutokana na mahitaji sio nyinyi munachukia ma loan ya ovyo munaenda jenga overpass eldoret mukitegemea itafaa miaka 30 inayo wakat hzo infastructure zinaisha na kuchoka 😆😆
 
Iliyoenda China ipo poa tu na baada ya safari ya kwanza iliendelea kupiga freight flights . Remember wanaoingia China kwa sasa ni Chinese nationals peke yao na Diplomats, so hamna abiria wa kutosha IMO, ila Cargo nina uhakiaka inakamua.
Hii sababu yake hasa ni nini?
kama ni issue sensitive potezea.
 
Hii sababu yake hasa ni nini?
kama ni issue sensitive potezea.

China kwa sasa haijafungua mipaka yake kwa Watu wote isipokua category mbili tu, hii ni kuzuia imported cases.

1. Category ya kwanza wanaoweza ingia sasa hivi ni Diplomats wanaojaza nafasi zao katika maeneo yao ya kazi
2.category ya pili ni Wale ambao walikua na work permit na residence permit na walikua nje baada ya China kufunga mipaka yake.

Chinese nationals wanaorudi pia sio wengi kwa hiyi nadhani hamna Abiria wa kutosha.
 

Expressway ya 27km inawatoa kinyesi je hii barabara si itawaua kabisa hawa mbwa.​


 
Back
Top Bottom