Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam oyee - Hongera Bertin hii. Planting Tree everywhere. Jiji linakuwa tamu sana, baada ya Serikali kuhamia Dodoma, Dar inabaki kuwa jiji la kibiashara.

1782364757656.png


1782364826992.png
 

TZ tukiitaka expressway faster tu,kwa akili tukimuambia mchina atutengenezee halafu mchina achukue 80% na familia ya jk ichukue 20% ya toll,mchina hawezi kukataa,but priority yetu ya kwanza ni miradi endelevu itakayomnufaisha kila mtanzania,si kama huko kwenu familia ya kenyata ndio inanufaika na expressway,80% ya wakazi wa naipumbu hawajahi kupita kwenye expressway
 

View: https://www.facebook.com/permalink.php?story_fbid=pfbid0nWxkoRy5SJUDEZrdRpDYBqBE3T6mvA3kexzStUuhTBLU2ao9ZquhHbh7pmGtGwJJl&id=61587188472379&__cft__%5B0%5D=AZZaYB_95Jbs5QkBIEGNGPrwDfrMeugIx-exGUEOOEESNt8ggSAgUZcnZpc_8019z4htATLoDYeB_G31sf-jmYjy1K8longGCft_o76ShwZgkaCdm0Avbkzc9XFEjyi1kCiOO6yGUkIuR3RCiYUtCMuX4GeNIxf7keFQt8-Wn7S12pNAJGGKX_P1cad4_J2K37iTszHM_aY80b-4qgafYs1s&__tn__=%2CO*F

MY TAKE
Ikumbukwe kuna mikoa kama Katavi, Mbeya, Arusha, Kagera, Kilimanjaro tayari ina viwanja vyake! Hapa mikoa kama Tanga, Lindi, Simiyu, Singida, Manyara na Njombe iko mbioni wakati plan for a modern terminal in Mwanza n the brand new Serengeti international airport is underway! Pia airports plans in National parks kama Lake Manyara under TANAPA haijakuwa included!

Kilimanjaro- Moshi airport inakarabatiwa pia as we speak. Arusha nayo ilikarabatiwa ndani ya mida hiyo pia
 
Back
Top Bottom