game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,273
- 26,826
You sound irrelevant mate,Nchi ya watu 70 million ina airline mbili pekee ya maana. Mbili kama matako. Na ujue hio precision airlines ni ya KQ. 😂 😂 😂 Bongoslum investments kubwa hua za serikali tu, kama serikali yenu haingewanunlia ndege na kuwajengea maghorofa mungekua tu kama Burundi.
The Government comprises of 100% Tanzanians ,
The Money spent in whatever airline or real estate ni pesa za watanzania 100%
I don’t see your point.
Kwanini utenganishe serikali yao wenyewe na wao, au pesa zao na wao