Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani mngewekewa foldable seats sijui Kama huku kungekalika. You guys made fun of our bucket seats alafu akawekewa hizo hizo at a tighter spacing making your stadium less comfortable than ours yet mnajifariji tu eti zenu ni better. Sasa mngewekewa hizo foldablelikuwa mnadhania mtawekewa sijui tungejificha wapi.😂😂😂
Yani in their minds, the Nyamwezi hunters and gatherers waliamini watawekewa foldable seats. I can't count the number of times Stakehigh posted Talanta seats in a day na maneno ya kejeli mara ooh bakuli seats and even saying that no modern stadium uses such a seats anymore. Lakini Mungu ni nani! 🤣🤣🤣...they got elongated bakuli seats squeezed side by side just like their uswazi hovels of Dar, thereby denying the would-be fans the much needed comfort.

Out of embarrassment, they are now trying to prove that they got a better deal on the seats by constantly posting dusty seats za Talanta with some even saying they are second hand seats! Hawa watu hakuna kitu inawauma kama Talanta stadium kujengwa against their predictions and prophecies
 
Picha hizi wakiziona wakenya wanapitea humu JF kwa muda
1781532603051.png


1781532678734.png


1781532734618.png


1781532807898.png
 
Haya ni maneno ya mtu mpumbavu. 😂😂😂 katafute takwimu za utalii wa ndani Tz uone numbers .. almost 3/4 of Tz tourists ni locals. I wonder kunyans anadai eti yeye akija kutalii bongo wanamrecord kama local tourists. 😂😂😂 haya ni maneno ya wivu na upumbavu wa kujipa umuhimu. Ni watanzania 3.2 million hutembelea vivutio vyao vya kitalii annually. 👇🏾View attachment 3608370stupid
From same site …
IMG_8985.jpeg
 
Talanta applied a different method kijana wa Tandale. The first in the region. How can you compare a traditional method used everywhere na a totally new concept kama ya Talanta. They can't yield the same results. Tuliza kende kidogo tu...
It’s same method they use for newly built American Football stadiums ( it’s being recommended for every American stadium to minimize injuries)
 
Haya ni maneno ya mtu mpumbavu. 😂😂😂 katafute takwimu za utalii wa ndani Tz uone numbers .. almost 3/4 of Tz tourists ni locals. I wonder kunyans anadai eti yeye akija kutalii bongo wanamrecord kama local tourists. 😂😂😂 haya ni maneno ya wivu na upumbavu wa kujipa umuhimu. Ni watanzania 3.2 million hutembelea vivutio vyao vya kitalii annually. 👇🏾View attachment 3608370stupid

So Kenya with a smaller population has almost double your local tourists. Also, are you accounting the fact that Kenyans are capable of drinking margharitas and eating sushi while on a holiday, while Tanzanians spending power affords them matoke and changaa? 😂😂

1 Kenyan tourist = 3 Tanzanian tourists.
1 American tourist = 30 Tanzanian tourists.
 
Back
Top Bottom