Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MLDC wameanza mwaka kwa maumivu makali sana😀😀😀😀😀😀😀😀 tano tena au sio wajameni
12400188-9C3B-489C-9DD4-FE38BE002006.jpeg

5723AE32-B905-4B16-A26A-E6C3337EAE2F.jpeg
 
acha trump atuite shitshole. tunastahili.

baadhi ya vinchi vya africa vina ujinga sana. imagine unakaa katika nchi halafu watu wa kabila fulani tu ndio wanajiona wana haki ya kutawala nchi.mfano ni wakikuyu nchini kenya.matokeo yake chuki za ukabila haziweshi isha.

unakaa katika nchi ambayo rais wake hataki kutoka madarakani, kila muhula wake unapokaribia kuisha, anatengeza mazingira ya kubadili vifungu vya katiba ili aongeze mda wa kukaa madarani. kama huu sio u-shitshole ni nini.mambo kama haya ndio husabisha unnecessary military coup na umwagaji damu katika nchi.

i'm with donald trump in this 1000%.we are shitsholes.sorry for being on the supporting side.

Yani inasikitisha Africa kuja kuendelea kufikia wa magharibi au kaskazini yani bado sana. mfano NY ina over 113 buildings over 185m. Sisi huku tuna vya kuhesabu dah!!. Watu wanafua nguo mtoni wanakunywa maji hayohayo. aixee. Hali ya mazingira ya kuishi mbaya etc. Africa inasikitisha kweli sijui la kufanya ni nini.
 
You are only but catching folks! Till that library of yours is complete and running, the Margret Thatcher Library in Eldoret, Kenya still holds that mantle!

DSC07858.jpg

086.JPG

Margaret-Thatcher-Library-Moi-University-1.jpg
usiumie kuskia new udsm library is the biggest and modern library in africa kama unabisha sema😀😀
 
Bro.. mmefanya uchaguzi wenu wa kimagumashi.. nothing happened here.

Now mnalia mna njaa mchina anawalisha ugali.. huku kwetu food prices are at their lowest..

Investors wanakimbia huko.. huku kwetu wanagombania..

Our economy is growing.. we are building by using our own money.. your treasury is taking loans to pay loans..

While Air Tanzania is coming up.. KQ has become an old prostitute trying to revive its business by applying more makeup.

Show me one thing which has cascaded down here.. one thing..

FYI: your trade with TZ is in bad shape thanks to stupid non tariff barriers.. but TZ is selling more to Kenya..

And counting...............
hahaha dah loan to pay loan inamaana interest watalipa two times😀😀😀

KQ inapumulia mashine 5 good years with losses
wanatangaza safari ya usa january huku flight iko october, ilimradi sifa tu zikae kichwani
 
usiumie kuskia new udsm library is the biggest and modern library in africa kama unabisha sema😀😀

No issue with that,in fact the bigger the better,we wish you well! Until complete and stocked it still doesn't count. Till then,deal with it!
 
Bro.. mmefanya uchaguzi wenu wa kimagumashi.. nothing happened here.

Now mnalia mna njaa mchina anawalisha ugali.. huku kwetu food prices are at their lowest..

Investors wanakimbia huko.. huku kwetu wanagombania..

Our economy is growing.. we are building by using our own money.. your treasury is taking loans to pay loans..

While Air Tanzania is coming up.. KQ has become an old prostitute trying to revive its business by applying more makeup.

Show me one thing which has cascaded down here.. one thing..

FYI: your trade with TZ is in bad shape thanks to stupid non tariff barriers.. but TZ is selling more to Kenya..

And counting...............
Kenya has cascaded up from LDC to Middle Income while you are still there complaining about us.
 
Back
Top Bottom