Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,256
- 18,071
Tell us how it's calculated Nyamwezi
Tell us how it's calculated Nyamwezi
long story but you could just do a simple query to get the final answerTell us how it's calculated Nyamwezi
Bongolala, this is what you posted hadi ukaweka website ya Dar stock exchange. Does the website below belong to NSE?Nimekuambia ujinga umekuzidi. Hizo value za KCB na Equity bank ni kutoka NSE.
Nilijua utasema hivyo ndio maana nikakupatia ushahidi wa hii PDF kutoka NSE
Why are you running away from your own words?Umekimbia but nitakutafuta tu mpaka upatikane.
DSE vs NSE
Usikimbie njoo ujifunze hapa.
Hii hapa chini ni real data ya sasa hivi kutoka DSE:
View attachment 3606426
Attachment ya nimeweka ni ya NSE live data
Matokeo saa hapa:
Nafasi Benki Nchi Thamani kwa Sarafu ya Ndani Thamani kwa Dola (USD) 🥇 Namba 1 NMB Bank 🇹🇿 Tanzania TSh 7,470.0 Bilioni $2.85 Billion 🥈 Namba 2 CRDB Bank 🇹🇿 Tanzania TSh 6,921.4 Bilioni $2.64 Billion 🥉 Namba 3 Equity Group 🇰🇪 Kenya KSh 285.9 Bilioni $2.14 Billion 🏅 Namba 4 KCB Group 🇰🇪 Kenya KSh 222.5 Bilioni $1.97 Billion
Teargass mwaiofhawaii IamLee nyangau mkenya nairobae nairobae Nicxie NairobiWalker Kifaru254 mwathadan BlietzKrieg kennedy0000
Sources:
Dar es salaam Stock Exchange
dse.co.tz
So this is how market capitalization is calculated? 😂😂
long story how its calculated which you wont understand, so to make the whole story short then a simple query would have fixed everything instead of playing with digits hereSo this is how market capitalization is calculated? 😂😂
18 floors??🤣🤣🤣🤣Baada ya muda mreefu mikocheni kudorora ujenzi wa majengo marefu, mikocheni ya miaka mitatu ijayo intawasumbua vichwa mno kundurendas. View attachment 3606508
Mzee naona umeanza kuleta kejeli za "Kijana wa Tandale" baada ya kubanwa na data halisi za masoko ya hisa. Hiyo inaitwa kukwepa mada baada ya kufeli kitaalamu. Twende kazi sasa nikufunguo akili na nikuoneshe wapi unataka kupotosha umma wa JF.Kijana wa Tandale, these are figures of market capitalization which do not reflect a company's true net value. Market capitalization is simply a company's equity, which is the total price of all its outstanding stocks. This does not include cash and debts. Stop confusing market capitalization with a company's value.
So, it's true Equity bank has a market capitalization of 285 billion shillings while KCB has a market cap of 222 billion shillings while their market value is much much higher.
Tumia kishwahil. English is not definitely not your thinglong story how its calculated which you wont understand, so to make the whole story short then a simple query would have fixed everything instead of playing with digits here
Naona unatafuta exit point 🤣 🤣 🤣 Unataka kuwadanganya hapa JF kuwa nimejichanganya kwa ku quote comments zangu.Bongolala, this is what you posted hadi ukaweka website ya Dar stock exchange. Does the website below belong to NSE?
Why are you running away from your own words?
cha muhimu umeelewa izo zingine utajazie utoke kwenye slumsTumia kishwahil. English is not definitely not your thing
They are desperate… hii uwanja imewang’oa vilivyo….They post parts still under construction with dusty seats …. Now look at this after seats have been dusted off …imagine the entire stadium this clean …. Talanta has no equal…Washaanza kulialia na hata bado hatujaanza.
![]()
Sawa mbilikimo. Uwanja wenu ni world class, wetu ni substandard. Nathani umefurahi Sasa. 😂😂😂Mbingu na Ardhi. Arusha 👇🏾View attachment 3606481View attachment 3606484yakwenu hii hapa ya kijua kali. 😂😂😂👇🏾affordable stadium .. unaeza sema huu uwanja ulishawahi kutumika miaka ya 70s huko .. nothing is modern concerning stadium View attachment 3606482
Hapa wakiangalia wanajiskia kulia. 😂😂😂Washaanza kulialia na hata bado hatujaanza.
![]()
Mrushie zile sa kamkunji.The project is ongoing Mr. genius. Or what do you think the slum demolitions were for?
AFCON visitors next year should be able to feed the ducks if China man delivers on schedule.
But just like Talanta and Bomas were never built, even this one according to Tandale-based 250 IQ watchman, haitajengwa 😂😂
View attachment 3606490View attachment 3606491View attachment 3606492View attachment 3606493
Nadhani picha hii umetafuta kila namna na angle ili uje uiweke hapa JF. Haya tueleze huo mto jina lake linaitwaje ili tukaufukunyue kwenye mitandao.