Ati kitambo na tunaona brt! πMwenzetu Nicxie mbona unahaha sana na kuanza kufukua makaburi ya Dar? Dar ilishatoka huko, picha uliyoleta ni ya more than decade. Lakini Gen-Z wanashukuru kwa kuwaonesha TBT.
Lakini picha hii haikupi uhalali wa kuacha kutuma picha moja ya Drone View ya Nairobi. Kuweka picha ya zamani sana ya Dar es salaam na kukwepa kuweka picha moja tu ya Nairobi watu wenye akili timamu wanaweza tafsiri kuwa ni wendawazimu. Lakini mimi siwezi kukuita kuwa wewe upo na mtindio wa ubongo kutokana na ukosefu wa chakula unaoikumba nchi ya kenya bali JF ni shule Mungu akipenda watu wa humu watakupatia msaada wa dawa ya ubongo wako.
Lakini dunia yote inasubiri picha moja tu ya drone view toka Nairobi
And the city is just getting startedDaaayum!!!β¦ Kisumu city is one construction site on fire π₯β¦
HaitajengwaShow me another stadium in this region with this environment.
View attachment 3604524
Muulize ni nani alipioneer transformation ya Singapore, ni president mgani πUsiwe mjinga oyaaaaa
Singapore has a parliamentary system of government modeled after the Westminster system. It operates as a parliamentary republic where the Prime Minister serves as the head of government and the President acts as the head of state with limited custodial veto powers.
Duu hio grass, apo na filter imetumika lakini bado sio greenHaitajengwa
Bakuli seats
Haina Var
Nyasi haitamea
View attachment 3604675View attachment 3604676View attachment 3604677
getting started in what exactly, you know where the budget is to be spent this year right?And the city is just getting started View attachment 3604683View attachment 3604684
Huna unalolojua punguani unategemea majibu ya googleView attachment 3604670
Halafu unatakiwa ujue rais haiwezi chagua prime minister bila go ahead ya chama na hawezi . Inshort Cha tawala ndo kinachagua waziri mkuu kama kinavyomchagulia makamu wa rais π€£π€£π€£π€£
Bongolalas know nothing about history and governance, shida kuwachia shule class 6. π π πMuulize ni nani alipioneer transformation ya Singapore, ni president mgani π
Tell him to do a research on PM Lee Kuan YewView attachment 3604687
Hiyo appointment inatokea baada ya hizo procedures zote za incompetence kutokea.Unasoma katiba nusu nusu kama mtu hajaenda shule kwanini. Now go back to article 51 vile umeambiwa hapo juu, usiwe mjinga.
Article 51.
View attachment 3604691
The reasons ziko kwa katiba.Hiyo appointment inatokea baada ya hizo procedures zote za incompetence kutokea.
Hawez mfukuza tu bila kuwa na shida yoyote . Case study ilitokea kwa Edward lowasa hata baada ya kutofautiana kikwete hakuweza mfukuza bali procedures zote za kibunge zilifuatwa mpaka kushinikizwa kujiuzuru.
Ingekuwa anaweza Fanya hivyo asingesubiri mpaka bunge limshinikize.π€£π€£π€£
Inshort hawez mfukuza bila bunge kuidhinisha au waziri mkuu mwenyewe kujiuzuru.π€£π€£π€£
Case study Edward lowasa
Chapati vs dictatorship?β¦ I will take chapati any day..ππππ
Clause moja haiwezi kuwa conclusive ndo maana umepewa case study.The reasons ziko kwa katiba.
Sub article 3 clause (d) is very clear.
Sasa unabishana na katiba yenu, enyewe wewe ni pumbavu.
Unajaribu kubishana that only sub article 3 clause (e) ndio pekee inafaa ku apply what about clauses a to d?
View attachment 3604701
Chapati vs dictatorship?β¦ I will take chapati any day..ππππ
Ndo maana tunawambiaga huwa hamnaga akili mnakariri Kila kitu.The reasons ziko kwa katiba.
Sub article 3 clause (d) is very clear.
Sasa unabishana na katiba yenu, enyewe wewe ni pumbavu.
Unajaribu kubishana that only sub article 3 clause (e) ndio pekee inafaa ku apply what about clauses a to d?
View attachment 3604701
Kama hujui kusoma katiba ni heri unyamaze, katiba yenu ina clauses tano on appointments, wewe ndio unaforce clause moja ya vote of no confidence by parliament pekee ndio inafaa kutumika yet rais anaweza tumia hata clause (d) akipenda ju iko kwa katiba. Kwa hivyo wale waliandika hio clause hawakua wanajua kitu wanafanya? π πClause moja haiwezi kuwa conclusive ndo maana umepewa case study.
Ili raisi aweze teua waziri mkuu mwingine lazima kuwepo na allegations na ndo maana kuna section 53 inayoelezea . Hawez amka asubuhi na kumfuta kazi kisa wametofautiana, ingekuwa hivyo Samia angemfukuza majaliwa kitambo ila alishindwa sababu hakuwa na allegations zozote , sababu hawakuiva.
Mind you appointment ya waziri mkuu lazima iidhinishwe na bunge na wabunge wanaweza kataa pia.
Kila kifungu kwa Sheria kina backup yake,
ofcourse, what else will you takeChapati vs dictatorship?β¦ I will take chapati any day..ππππ