stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,362
- 33,847
Teargass mwaiofhawaii Nicxie
bado tu hamtaki kutoa pongezi to how i predicted your falling economy 🤣🤣
View: https://x.com/ntvkenya/status/2061628908802625891?s=20
Afadhali hawa wamebeba "koleo".
Talanta haitajengwa, mark my words 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ugly.
Huyo anajifanya mwehu, space ninayozungumzia mm siyo hiyo anayosema, yeye amechukua picha ambayo seats zilikuwa zimewekwa reserve kwa ajili ya kusubiri zifungwe, eti akapost kwamba seat zimebanana. Seat gn zinawekwa vile, anafikiri sisi hatuna akili kama wao? Mm nazungumzia ile style yao ya kuweka seat vile umewahi kuona wapi duniani kama sio kwenye affordable stadium 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nicxie kichaka chako nakukata huku. Hizo spaces from one seat to another hizo hapo. 👇🏾View attachment 3599672View attachment 3599673
Alooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ati ni affordable stadium 😂😂😂👇🏾Eng wa uwanja ni nani.? View attachment 3599916View attachment 3599917Hebu ona uwanja wa Rusha 👇🏾platform kabla haijaekwa viti ilivyo bora. kama ndani ya nyumba ya mtu tu kalii 🔥🔥🔥View attachment 3599919View attachment 3599920