Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,898
- 5,046
Mimi nimeshangaa pia, wao walikua mbele ya muda lakini tuponao sawa now, na bila shaka kwa speed yetu, tutawahi kumaliza kabla yao.Talanta Stadium is stuck sioni progress yoyote recently bado wanasubiri hela toka serikalini? Arusha itaisha kabla ya Talanta japo wao walikuwa mbele kiutekelezaji.