The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hapo wakenya chupi zinabana, nchi nzima wamekaa wanaombea madogo wafungwe, wana roho mbaya sn wakenya.
🤣🤣🤣 ati ni affordable stadium.Alooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3600063
Tuonyeshe yako ya maana yenye imeshinda hizi za Wakenya. 🤣 🤣80 percent on Kunyaland roads 😂 ndio purchasing power kubwa View attachment 3600028
Ati ni affordable stadium 😂😂😂👇🏾Eng wa uwanja ni nani.? View attachment 3599916View attachment 3599917Hebu ona uwanja wa Rusha 👇🏾platform kabla haijaekwa viti ilivyo bora. kama ndani ya nyumba ya mtu tu kalii 🔥🔥🔥View attachment 3599919View attachment 3599920
comrade_kipepe unagonga sana kwenye utosi
View: https://x.com/KipepeComrade/status/2061321290011607545?s=20
News imekutoa shimoni.You actually believe that in 3 years you will add 40 aircraft (no actual plan on paper) yet you barely have 10 since independence
Kuna vitu mnafaa kupunguza Kiburi.. hata tukitaka kuwashabikia kama East Africa mnaleta kiburi, oneni sasa mtalia peke yenuWakenya oneni 👇👇😂😂😂😂😂View attachment 3600194
Kuna vitu mnafaa kupunguza Kiburi.. hata tukitaka kuwashabikia kama East Africa mnaleta kiburi, oneni sasa mtalia peke yenu
View: https://x.com/iamfelixtz/status/2061919031045521715?s=46
Kuna vitu mnafaa kupunguza Kiburi.. hata tukitaka kuwashabikia kama East Africa mnaleta kiburi, oneni sasa mtalia peke yenu
View: https://x.com/iamfelixtz/status/2061919031045521715?s=46
For one, pongezi kwa kufika Finale.. you deserve it.. sikupongezi wewe, napongeza vijana ambao wametia bidii na wale wenzenu wasio na kiburi kama weweMtupongeze kama East Africa mmeanza lini tabia iyo?