concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Japo train passengers' service is not a super profitable segment ya transportaion kwa TRC lakini kwa mwendo huu na mapato yanayopatikana from passenger service TRC imeweza kuanza kujimudu kiundeshaji na hapo bado inaishia Dodoma tuu Mwanza na Kigoma ikikamilika mapato ya passengers yataongezeka 5 times na hapo bado cargo haijanza with full force.
Sio kwamba haina faida ila uendeshaji wake ndo kwetu imekuwa changamoto , tunaendekeza siasa badala ya utendaji kazi.
Kule mgr kuna vichwa vile vya H10 vya Malaysia , siku mkilibahatisha kuanzia Moro dar linatembea mwendo wa masaa manne tu ,Ina maana tukilipa safari ya dar mwanza kingeweza kwenda mwendo wa bas, ila hakuna kitu kimefanyika . Ukienda kwenye ticket za mgr hasa kigoma ili kupata ticket labda ulale steshenj wakati tukitengenza platform ya online ticket purchase kama mabasi.
Kwa Tanzania treni ya abiria Inaweza lipa zaid ya tunavyofikiria .
Imagine mpaka leo kwenda kigoma like dude bado linajaza ,sembuse sgr.
Hata tukiongeza trip 2 kwenda Dodoma bado hazitatosha ,ila zile bei zao emu ndo sio rafiki walau ingekuwa ni 80,000 ila vikawa ni express tu