Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Congratulations to Gor Mahia
20260601_141241.jpg
20260601_141237.jpg
 
Kuna viashiria vingi sn kuonesha nchi yenye uwezo na ile isiyo na uwezo, angalia kwenye suala la Afcon tu utagundua ni nchi gn inajiweza kati ya Tanzania na kenya, angalia kwenye michezo kwa ujumla, angalia sanaa, angalia chakula, angalia infrastructural transformation utaelewa ni nchi gn maskini zaidi kati ya hizi mbili.
AFCON mlifanya nini wakati hata viwanja mlishindwa kujaza?

And which infrastructural development are you referring to?
 
AFCON mlifanya nini wakati hata viwanja mlishindwa kujaza?

And which infrastructural development are you referring to?
i will remind you CHAN has been erased and move on, if your talking of AFCON sisi ndo tuwaulize mmefanya nn maaana its 13 years since muonekane
 
Back
Top Bottom