Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which locals? Kwani siku hizi Barick ni local?🤣🤣😂.

All your mines are owned by whites.
Mgodi kama huu ni wa kupeleka gold Uganda for purification? Yaani mzungu mwenye hundreds of years in the mining industry across the globe ategemee refinery Uganda? We mzima kweli FYI huu sio mgodi mkubwa compared to Barrick


View: https://x.com/i/status/2055088032202866822
 
Remember entire Dar only have 400km of paved roads 😂😂🤣.

Nairobi paved road network is 4,000km.
Nilijua mmefikia 100k kumbe mpo 4k bado 🤡 lazy bones as usual
thika-road-brt.jpg



View: https://x.com/i/status/2050253117346754981
 
Uchambuzi wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya nje Baadhi ya vitu vilivyomo

1. Kore ailiridhia kuipatia Tanzania mkopo nafuu wa Dola zaMarekani bilioni 2.5 Kwaajili ya
A. Uendelezaji waHospital ya Taifa ya Muhimbili​
B. Ujenzi wa Hospitali yaBinguni Zanzibar​
C. Ujenzi wa bandari ya uvuvi yaBagamoyo​
D. Ujenzi wa chuo cha reli, Dodoma​
Chuo cha reli si Tabora Tena?
 
Wazee wa kupika data! Yaani uchukue Dar city center-Kibaha Mpakani, then Dar city center-new Bagamoyo road mpaka mpakani Pwani then Dar city center-Kisarawe hizo 400 km hazijafika? Hivi Hawa mbwa wanajua how big is Dar?
 
Chuo cha reli si Tabora Tena?
Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania (TIRTEC) Kimeongelewa katika bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Kampasi zake ni Tabora na Morogoro.
Kenya bajeti ya wizara ya Uchukuzi page 112 na 113 na page 188,

Katika mwaka wa fedha 2026/27, Chuo kinatarajia kudahili wanafunzi 750
Course:
1. Usafirishaji kwa njia ya Reli;
2. Matengenezo ya mabehewa
3. Matengenezo ya miundombinu ya reli
4. Teknolojia ya usanifu wa matengenezo ya reli na mabehewa
5. Ufundi Sanifu wa Mifumo ya Umeme kwenye vichwa vya treni
6. Mawasilianona ishara
7. Usafirishaji na udhibiti wa ajali katika mtandao wa reli
8. Uchumi katika usafirishaji
9. Teknolojia ya udereva wa treni
10. Usalama kwenye matengenezo ya miundombinu ya reli

Nadhani Dodoma ni Chuo kipya
 
Muongo muongoze, hana akili huyo 4000km kwa tiny naislum wangekua na lami mpaka uvunguni ukizingatia 60 percent of naislum ni pori na mbuga 😅😅
Unadhani Nairobi nikama Dar is a slum without a grid layout in urban planning.
 
Nairobi total area is 696.1 km²
Nairobi National Park 117 km²
Add Slums area

So Eneo la maana Nairobi is very very small
How do you expect to understand yet Dar is a slum has a very small area with grid layout urban planning. Nyinyi ni watu vichochoro kila corner due to poor urban planning.
 
View attachment 3595488
😀ile 2016 tunazindua BRT uhuru alipanic vibaya mno kama alivyopanic ruto SGR yetu ilipoanza route ya moro,fasta akaenda kununua mtumba behewa za viti vya kulala,hata ulaya kwenyewe sijawahi kuona behewa za vile 🤣,ile itakua mtumba order special
Juzi kati wameona new conference proposal ya MKICC inaenda kuwa tishio ukanda wote nao wakaibuka na new Bomas uzuri render yetu ilikua bado haijatoka, wamejenga kituko tayari wakati kitu kinachojengwa na Tanzania ni hatari, naona baadae watakuja kuchange design kuongeza chochote 😅 hawawezi kuishi bila Tanzania
IMG_3783.jpeg

20260526_191812.jpg
 
Back
Top Bottom