Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unga ni 115 apart from from kampuni zingine zile unga zao huwa ghali kiasi.........alafu mjue vile mko dumb, unga Tanzania ni shilingi ngapi?
Kilo ni ksh 45 Dar, kijijiji inaweza kua ksh 40
 
Tuma ata bei ya bidhaa zingine kwa supermarket kama mchele nataka tumalize hii argument
Tanzania vyakula basic kama unga mchele maharage ni vyakula ambavyo kila nyumba inautamadun wa kuhifadh ndan kwa mwaka mzma ...mfano unakuta mtu nyumban ana gunia tano au sita na za mchele ...unga ukiisha ndan anapima debe mbili au moja anasaga maisha yanaendelea vitu tunavyonunua huku ni vdogo vdogo tuu..
 
Unga ni 115 apart from from kampuni zingine zile unga zao huwa ghali kiasi.........alafu mjue vile mko dumb, unga Tanzania ni shilingi ngapi?

bro unga huku si kitu kabisa ndio maana huwezi kuta mtu amepack kilo mbili mbili namna hiyo anauza ni kama haina faida,tunaanzia kilo tano kupanda,kilo bei juu now ni tsh 800 gawanya kwa pesa yenu uone ni shingapi.
 
Vipi mnalinganisha vitu kwa markets na supermarkets huku?...haziezi pelekana kamwe
Bei ya sukari Tanzania ni 115 mpaka 120 kwa kilogram (ksh)

Na wewe si ulster za market mzee mbona kitu simple, largest Tanzanian community purchase in local markets nor supermarkets
 
Hao ni wakenya wenzenu kutoka namanga, sirari na voi wanajifanya ni watanzania
Hahaha...yani sasa mnakataa watanzania wenzenu. kwani sirari iko wapi? that border town inaitwa Isibania upande wa Kenya na sirari upande wa Tanzania so kama hao omba omba wanatoka sirari basi hao sio wakenya. Yani sijaamini unakana watanzania wenzako. Maajabu haya!
 
Nimeona mahali wameandika nyama stek kumaanisha steakπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ama nakosea? wabongo lakiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
China donates 30 tons of food to drought-hit Kenya - China Plus
 
Tunaendelea bei ya nyama ya cow Tanzania ni 250 mpaka 300 per kilogram (ksh) nipe ya Kenya
How does Tsh6,000 become Ksh250 at the exchange rate of 20 shillings? At my local town the price of a kilogram of meat is Ksh300
 
How does Tsh6,000 become Ksh250 at the exchange rate of 20 shillings? At my local town the price of a kilogram of meat is Ksh300
Mind you hapo ni, 2015 now many places in Tanzania bei ni 5000 per kilogram
 
Bei ya sukari Tanzania ni 115 mpaka 120 kwa kilogram (ksh)

Na wewe si ulster za market mzee mbona kitu simple, largest Tanzanian community purchase in local markets nor supermarkets
Kama nilivyo sema bei ya bidhaa Tanzania na Kenya hazijaachana.....mchele wa kupima Kenya utapata na kuanzia 80ksh per kilo same na Tanzania, sukari umesema kuanzia 115-120 na Kenya it's the same inachezea 110-120 kwenye maduka na markets, unga pia tuusan amesema inachezea 40-45 per kg ambayo haijaachana na Kenya 45-50 per kg kwenye visiagi na maduka.....it's logical vitu kwenye supermarkets zitakua ghali kidogo kutokana na value addition lakini ukilinganisha bidhaa kwenye markets Kenya na Tanzania zinachezea bei moja
 
Sitaki maneno matupu leta pictures kama nilivyofanya otherwise ni uongo usifikiri hatuijui Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…