Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Screenshot_20260525-203657.png
 
Uchambuzi wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya nje Baadhi ya vitu vilivyomo

1. Kore ailiridhia kuipatia Tanzania mkopo nafuu wa Dola zaMarekani bilioni 2.5 Kwaajili ya
A. Uendelezaji waHospital ya Taifa ya Muhimbili​
B. Ujenzi wa Hospitali yaBinguni Zanzibar​
C. Ujenzi wa bandari ya uvuvi yaBagamoyo​
D. Ujenzi wa chuo cha reli, Dodoma​
 
Tanzania Export in EAC $1.2256 billion, Tanzania import from EAC $582.2 milion in 2025

Hotuba ya wizara ya mambo ya nje page 34.

Wakenya wakiona haya wanaumia sana - Wanatamani wawe wao
 
Ujenzi wa Mount Kilimanjaro International Convention Centre (MK - ICC) Arusha anayejenga ni China Railway Construction EngineeringGroup (CRCEG)

1. Washiriki 5,000kwenye ukumbi mkuu (Plenary Hall)
2. (break-out rooms) zenye uwezo wakuhudumia washiriki kuanzia 30 hadi 500
3. Rais (Presidential suite) unaowezakuhudumia watu 300
4. (Exhibition Centre) wenye mita za mraba 20,000na uwezo wa kuhudumia washiriki wapatao 10,000 kwawakati mmoja
5. Jengo la Utawala lenye mita za mraba 2,600
6. Eneo lamaegesho ya magari lenye uwezo wa kuegesha magari2,000 kwa wakati mmoja
7. Hoteli ya Nyota Tano yenyevyumba 500 ikiwa ni pamoja na vyumba 15 vyenye hadhiya watu mashuhuri (VIPs)
8. Kazi za nje katika eneo lamradi lenye ukubwa wa mita za mraba 50,000

Tanzania oyee!! Kenya wanaumia sana
 
Kuna mkataba huu ulisainiwa Kati ya Tanzania na Kenya wakenya waliupitia vizuri? 04 Mei, 2026

Agreement on Mutual Legal Assistance incriminal matters between the Government ofthe United Republic of Tanzania and theGovernment of the Republic of Kenya.

Bilateral Agreement between theGovernment of the United Republic ofTanzania Republic and the Government ofthe Republic of Kenya and the Governmentrelating to conducting a feasibility Studyfor the development of Natural Gas ExportProject from Dar es Salaam, Tanzania toMombasa, Kenya.
 
Back
Top Bottom