chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Sahihi kabisa, hizi reports nazifatilia kwa ukaribu mno zote, tunaelewa serikali ya Kenya na entities zake wamebobea kwenye kufake data kwa kiwango cha kutisha though zipo baadhi wanajisahau, hii ni moja kati ya report wameshindwa kuipika, so it's very true value ya transactions zao ipo poorly low compared na zetu.Kaka Ripoti yao hii hapa official source:
NB: TCRA record you only Active accounts zilizotumika japo mara moja kwa mwezi (Ndani ya miezi mitatu ambazo hazijatumika waha record)
Kenya (KNBS) including active, inactive, and dormant accounts" (Page 6, Table 14(d) note 1)
KNBS imerocord kwenye report hiyo Transactions Volume 217.6 million kwa mwezi wakati Tanzania (TCRA) 1.99 billion transactions kwa miezi mitatu sawa na wastani wa 664 million monthly
Kaka hiyo ni report yao mengine wanaweka humu ni uongo
If you engage in discussion with me, you must be of sound mind. I follow the details.
Hii hapa taarifa uliyoiweka kwenye comment yako.
I told you hapa kuna technical mistake. Kubali tuendelee na mambo mengine.
"...a total of KShs 2.3 trillion transaction value via the app across 896.2 billion transactions."
If you divide the total value (KShs 2.3 trillion) by the number of transactions (896.2 billion), the average value per transaction would be roughly KShs 2.50 (less than 3 Kenyan cents).
The writer almost certainly swapped the words "million" and "billion", or mixed up the scale of the metrics.
View attachment 3594944
Where is your Revenue?Aisee kanjibahi kafanya desk research and modeling 😅😅😅 unajua maana yake lakini 🤡🤡 View attachment 3594959
Maumivu ya kunyan ni makubwa 😂😂Kunyaland hata yenyewe tu haiwezi kujitosheleza, no country in the world Kunyaland could be its major source of imports because they're lazy bones can't produce nothing more than noises
View: https://x.com/i/status/2058889066041508020
Kunyaland hata yenyewe tu haiwezi kujitosheleza, no country in the world Kunyaland could be its major source of imports because they're lazy bones can't produce nothing more than noises
View: https://x.com/i/status/2058889066041508020
Ukiachana na zile fake estimates za kanjibahi for 2025 hizi ndio actuals za CBK 2025, mna hali mbaya uchumi wenu upo mortuaryWhere is your Revenue?
Mjinga huyo hajui ni kutokana na local gold miners, na hiyo ndio tofauti ya mtanzania na mkenya, mkenya anajua miraa tu ndio export from locals 😅😅
Grid gani Dar na nyumba huwezi access na gari. 😂 😂 The most unplanned city in Africa.
Ndio maana nikasema wakenya mnachukuliwa ujinga. Chukua hayo maelezo yaweke kwenye AI yoyote. Inakataa hesabu haziji:Take it up with Safaricom -
Ndio maana nikasema wakenya mnachukuliwa ujinga. Chukua hayo maelezo yaweke kwenye AI yoyote. Inakataa hesabu haziji:
Deepseek
Note on the "896.2 billion transactions" figure: This appears to be an error in the source text. 896.2 billion transactions would be impossible in a single period (that's more than 10,000 transactions per person in Kenya). It likely means 896.2 million transactions. The KNBS report for Dec 2025 showed 217.6 million monthly transactions nationally, so 896 million quarterly for Safaricom alone would be plausible.
Chatgpt
The statement generally shows strong growth of M-PESA in customers, merchants, app usage, and revenue generation, but the likely error is the claim of “896.2 billion transactions.” That figure appears unrealistically high compared to the reported 1.6 million active revenue-generating users, because it would imply hundreds of thousands of transactions per user. Most likely, the report intended to say “896.2 million transactions” instead of billion, making it a probable typo or reporting mistake.
Gemini
The Error
The number 896.2 billion transactions is a mistake. To put that in perspective, 896 billion transactions for 1.6 million users would mean every single user did over 500,000 transactions in one year (or more than 1,500 transactions every single day).
Ongeza makwapa pia
Wewe ni pumbavu, hii ni data ya person to person pekee. Direct transfer between users. MPESA Revenue alone is bigger than the top 5 financial institutions in your country combined.Ukiachana na zile fake estimates za kanjibahi for 2025 hizi ndio actuals za CBK 2025, mna hali mbaya uchumi wenu upo mortuary View attachment 3594965