Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,385
- 33,734
So hizi picha za Mabati in your Stadium ni uongo?🤣🤣😂Sisi kaka tuweke facts, wenyewe kwasababu tumewazidi ndio wanapenda hivyo kuweka vitu vya uongo na kudhalilisha. Sisi tuweke projects na vitu vya uhalisia. Na kama kuna sehemu kuna makosa tunayaweka lakini yawe ya ukweli
Ama hizi lights za baiskeli zenye mmeweka kwa stadium ndio uongo?🤣🤣😂👇👇