Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kumbe roof ya Arusha Stadium ni pure Mabati?😂😂🤣

Alafu hizi lights zinasemekana ni obsolete 😂😂👇👇
1000279741.jpg
 
There's nothing quality in installing seats zimeshikana kama nyumba zenu za uswazi. Does that even offer comfort? Seats za Suluhu you can't even move your arms without touching your neighbor. Very uncomfortable! At Talanta there are visible spaces between seats meaning fans hawatabanana kama hiyo yenu. Now you know where quality is

Arusha seats
View attachment 3593389
View attachment 3593391
Vs

Talanta seats
View attachment 3593393View attachment 3593396
Where is comfort guaranteed between the two?
Yani watu wanaangalia seats zimeshikana kama zile za daladala zao wanaona kabisa ni quality kuliko seats zimewekwa spaciously. 🤣 🤣
Yani talanta tikiamuwa tuweke viti za leather uwanja wote tutaweka tu bila kubadilisha capacity ya stadium.
 
Maneno ya nini nasubiria 1112 km za kutoka Kenya Buda Mimi siasa sijuagi mpaka liishe
Bongolala mwenzako alipita interchange mbili na underapass moja akajipata na lorry akielekea CBD where trucks are banned. Just because amezoea barabara za Zebra crossing kila mahali. We are not your mates.
 
idiot don't compare what is put at Talanta n what is at Camp nou! Talanta's roof is cheap material!
Geuza ulole, Talanta stadium is roofed using PTFE-coated fiberglass which is a very high quality roofing material. The same material used on some of the world's top stadiums such as Allianz Arena, London Stadium et al. Ujinga wa blind patriotism hata kwenye ukweli uko wazi achia vitoto kama Traveller D. Wee ni mzee mzima.
 
Leo utalia sana, we baboon.View attachment 3593441
Kuna angle ya Darislum wanapenda kuipiga sana, wanaipigia aerial view pale Masaki inachukua Oyster Bay yote had ile Tanzanite bridge na zile mitungi tatu kwa background. Hii picha ukiongeza tu cable stayed bridge imepiga kile ki angle chao 10-0. 🤣 🤣
 
Geuza ulole, Talanta stadium is roofed using PTFE-coated fiberglass which is a very high quality roofing material. The same material used on some of the world's top stadiums such as Allianz Arena, London Stadium et al. Ujinga wa blind patriotism hata kwenye ukweli uko wazi achia vitoto kama Traveller D. Wee ni mzee mzima.
Mimi kazi yangu ni kuwaumbua watu kama nyinyi ,Toka lini allianz imetumia PTFE.
🤣🤣🤣🤣Hiyo material yenyewe unaijua
Screenshot_20260523-163759~2.jpg
 
Mimi kazi yangu ni kuwaumbua watu kama nyinyi ,Toka lini allianz imetumia PTFE.
🤣🤣🤣🤣Hiyo material yenyewe unaijua View attachment 3593526
Same family. PTFE is actually slightly higher quality than ETFE. Bozo.
Unaniuliza kama najua hiiyo material na umeiskia kwangu kwa mara ya kwanza ndio ukakimbia chatGPT? Si mmekuwa mkisema ni tarubaru? 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom