Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnuka mavi unatumia kifaa gani .? Unaforce tufanane.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐ŸพView attachment 3593607View attachment 3593608mnuka mavi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sportbeams are still Legacy Floodlights ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

1000279849.jpg
1000279649.jpg
 
Our stadium is far better than yours in every single aspect except capacity. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hii ni fact ambayo ili uibadilishe unafaa uje uuvunje uwanja wetu.
Na roof ya Mabati?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

1000279741.jpg
 
Wewe huoni vile wanasema ati hizi sio floodlights za Stadium yao

View attachment 3593643

They then goes ahead posting the same floodlights but arranged in a different way ati sasa hiyo stadium Yao itakuwa inatumia๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

View attachment 3593644
Hiyo mabati ndio wanasema iko higher quality kuliko PTFE-coated fiberglass.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe kima ngoja leo nikikate kichaka chako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

1. Exterior LED lights za Arusha stadium zitakua za kipekee zaidi ukanda huu. ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ this is Arusha stadium at night when completed ๐Ÿ‘‡๐ŸพView attachment 3593633View attachment 35936342. There is 18 skyboxes in Arusha stadium

3. Unajisifia water fountains outside Talanta affordable stadium.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hiyo Talanta ilo na indoor Arena.?

Hizo zingine unataja zote sio qualities za better stadium. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sio water fountain wewe mbilikimo mshamba, inaitwa splash pad.
 
Better in every aspect?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Does your vagina stadium have skyboxes?

Does it have hydraulic cable roof lifting system?

Does it have water fountains?

Does it rise 56 meters high?

Will it have goal-line technology?

Is your vagina stadium a green building like Talanta?

Does it have exterior LED lights?

Can it evacuate fans in 8 minutes? (60k fans in the case of Talanta)?

Will the vagina have integrated rail links to facilitate fans transportation?

Are there any plans to build a 4-star hotel around the stadium?

Talanta has a 3,000 car park capacity. What's the capability of your vagina stadium?

You have a long way to go bongolala to match Talanta standards
It has a Mabati roof๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1000279741.jpg
1000279742.jpg
 
Ni kama unatafuta furaha ya kulazimisha. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ taa zimewekwa na website ya watengeneza taa imewekwa, sasa kazi kwako.
Na ndio nakuambia they are low quality and are nolonger used in modern stadiums ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1000279649.jpg
 
Hii ya kuongeza Gati inatakiwa waharakishe kabisa... Sio jambo la uhitaji Tena... Ni ishu ya lazima.

Nimeongea na wadau wa bandari wanasema kontena zinakuja kwa wingi sana kuliko kawaida. Na export yetu ni ndogo kwa hiyo maghala ya kuhifadhi makasha matupu yote yamejaa! Hivyo pia ni advantage maana itabidi hata washushe gharama za freight ili container zirudi na kuendelea ku rotates.

Ni kujipanga tu na kuondokana na urasimu kwenye biashara za kimataifa.. nchi itasonga mbele na vijana watapata vibunda. Zile BBT programs zisimamiwe kwa ukaribu ... Hata zote zikiwa chini ya SUMA sio mbaya. Ili kuwe na usimamizi na seriousness.
 
Nimesikia hapa plan in two years Mombassa siyo mshindani wetu kwenye ukanda huu. Tutakuwa tunashindana na South Africa

View: https://www.instagram.com/reel/DYsGMVvjNA1/?igsh=am9jODcyMTRwaDdp
 
Back
Top Bottom