Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Same family. PTFE is actually slightly higher quality than ETFE. Bozo.
Unaniuliza kama najua hiiyo material na umeiskia kwangu kwa mara ya kwanza ndio ukakimbia chatGPT? Si mmekuwa mkisema ni tarubaru? 🤣 🤣 🤣
Huyo anakuanga fala😂😂🤣
 
Yani watu wanaangalia seats zimeshikana kama zile za daladala zao wanaona kabisa ni quality kuliko seats zimewekwa spaciously. 🤣 🤣
Yani talanta tikiamuwa tuweke viti za leather uwanja wote tutaweka tu bila kubadilisha capacity ya stadium.
Exactly. Sasa kama wamebana seats hivyo na ndio wako na capacity ya 30k. Sasa wangeacha spaces kama za Talanta si ingekuwa na 20k seats or even less!

Alafu ndio wanaona seats zao ni quality sana na hiyo kubanana yote
 
Same family. PTFE is actually slightly higher quality than ETFE. Bozo.
Unaniuliza kama najua hiiyo material na umeiskia kwangu kwa mara ya kwanza ndio ukakimbia chatGPT? Si mmekuwa mkisema ni tarubaru? 🤣 🤣 🤣
So talanta imejengwa kwa PTFE ? Nikuumbue?
 
Hizi ndio lightings mnatumia in Arusha Stadium. It's inferior to Talanta's floodlights 😂😂👇👇

View attachment 3593268
For you are information hizo zinaitwa Sportsbeams Chromabeams (LED 900 / Orbit Series) Very very expensive ndio zinatumiaka kwenye modern stadium duniani kote.
Achana na hizo za kwenu zinawaka baada ya masaa matatu.
 
Sisi ni wajuzi wa haya mambo usitake comparison, sisi ligi yetu siku zote inachezwa usiku, tena mwanga wa viwango. Nyie ligi yenu haichezwi usiku, nyie bado wageni kwenye hizi mambo that's y mmewekewa koroboi.
Kaka Taa alizoweka anajiabisha tu hizo ni Sportsbeams Chromabeams (LED 900 / Orbit Series) modern kabisa kenya hawana uwezo wa kuzinunua.
 
Every county in Kenya either have a stadium or is in the process of finishing the construction. That can't be said of Tanzania where people play in the grazing fields in the name of Stadiums 😂😂🤣😂
Stadiums zote hizo na bado mkaenda kuchezea match malawi na uganda!
 
Back
Top Bottom