Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yn unaona kabisa quality wise ukifananisha talanta na Arusha stadium ni mbingu na ardhi.
There's nothing quality in installing seats zimeshikana kama nyumba zenu za uswazi. Does that even offer comfort? Seats za Suluhu you can't even move your arms without touching your neighbor. Very uncomfortable! At Talanta there are visible spaces between seats meaning fans hawatabanana kama hiyo yenu. Now you know where quality is

Arusha seats
20260522_123843.jpg

1000272789.jpg

Vs

Talanta seats
1778878492046.png
FB_IMG_1774189567141.jpg

Where is comfort guaranteed between the two?
 
Wewe fala usituulize sisi habari za viwanja. Tushavuka huko. We tafuta burundi ushindane nae mana hata UG kwasasa anakupiga bao. 😂😂😂
Jibu swali nyamwezi. Hamna uwanja kama huo nje ya hizo miji miwili. Even your second biggest city doesn't have such kind of a stadium
 
Usitake niingie ndichi nikuletee mambo ulie 😂😂😂 the maturubai thing at the top of stadium are cheap materials. Some says ati ni Talanta ni affordable stadium. 😂😂😂
We are happy to be in the group of Tarubai🤣🤣👇👇👇

Allianz Arena. Tarubai.

1779534613030.jpeg


Lusail Stadium in Qatar. Tarubai.
1779534659695.jpeg

Wanda Metropolitan. Tarubai.
1779534716174.jpeg


Besiktas New Stadium. Tarubai.

1779534775370.jpeg


Al Thumana Stadium. Tarubai.
1779534876868.jpeg


Talanta Stadium. Tarubai.

1000239089.jpg
 
Onesha kwanza uwanja nje ya Nairobi
Every county in Kenya either have a stadium or is in the process of finishing the construction. That can't be said of Tanzania where people play in the grazing fields in the name of Stadiums 😂😂🤣😂
 
Every county in Kenya either have a stadium or is in the process of finishing the construction. That can't be said of Tanzania where people play in the grazing fields in the name of Stadiums 😂😂🤣😂
1778356632335.jpg
1778341984079.jpg

Nani amekuambia hakuna stadium kwa Kila mkoa ?
Stadium zenu si hizi?
Hizi zinafaa ng'ombe tu sio binadamu
 
Walivyo waongo, wanaongopa mpk wanajisaau, eti Comoro ipo juu ya Tanzania, Nigeria, na Angola. Hawa mapimbi hizi ndo zilikuwa silaha zao miaka ile, mpuuzi mmoja anajifungia gikomba anatengeneza data uchwala kama hii 👇👇😂😂😂View attachment 3593251

Electricity connectivity rate

Comoro - 94%
Tanzania - 46%
Nigeria - 61% (In name only)

Ama unadhani infrastructure wanakuja kuhesabu kilomita za lami na sgr?
 
Back
Top Bottom