Ku compare Kenya na Tanzania sio sahihi kwa sababu kila mmoja ana weaknesses na strength zake. Mfano Kenya ni exporter wakubwa sana wa sabuni kuja bongo na wa tz ni exporter wakubwa sana wa mahindi kwenda kenya, hiyo ni international trade. Na kuhusu uzuri, DSM ni jiji lililoko pwani na pia Nairobi haiko pwani na pia yote ni majiji ya biashara, wengi wanaonesha maeneo mazuri mazuri ila yale yasiyovutia hawaoneshi. Picha nyingi zinazooneshwa zimepigea na camera quality zikapitia editing nyingi, je zile nyumba ndogo ndogo duni mbona watu hawaoneshi. Kwa hiyo DSM na Nairobi ni sawa tu