Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BRT Phase III - Bibi Titi Mohamed Road - Check sidewalk

1779373771239.png


1779373874398.png


1779373920436.png
 
Kwangu nina TTCL fiber na Satellite internet.
Huwa unaona wivu hadi vitu vidogo namna hii?
Sasa mbona nionee scammer wivu? I can dare you to show me something to prove you but I know you won't show it. Wewe endelea kufuatilia WiFi kwa ofisi za watu😂😂🤣
 
TZS devaluation ndio sababu more imports than exports.

Yours is managed and overvalued by 30% sasa fanya hesabu rahisi, your current GDP numbers minus 30% of that GDP utapata current GDP ya ukweli.
When did Tanzania devalue their currency?😂😂🤣
 
Sasa mbona nionee scammer wivu? I can dare you to show me something to prove you but I know you won't show it. Wewe endelea kufuatilia WiFi kwa ofisi za watu😂😂🤣
Kwamba umeshindwa kuona neno 5G kwenye hiyo picha? na ukaona hiyo ni data ya kawaida!
Hivi ukiwa masikini unadhani kila mtu ni masikini na mshamba kama wewe?
Wewe huwa dawa yako ni kukuambia post bank statement turnover.
 
Back
Top Bottom