Kenya's GDP at 4.5% is growing faster than bongoslum GDP at 6%. Si uchawi ni hesabu.The way they are going down they will soon discover oilππ
View: https://x.com/i/status/2056385669031919636
Tuambieni wamekufa wangapi?Kenya's GDP at 4.5% is growing faster than bongoslum GDP at 6%. Si uchawi ni hesabu.
Welcome back Nyamwezi. Uliolewa wapi?Hakuna namna refinery ni lazima ijengwe Tanga mtake msitake, anachokifanya Dangote ni kutumia siasa ili alegezewe kamba apate unafuu, kwamba kwenye makubaliano GoT ifanye vile anataka yeye, na ndiyo mana anamtumia cheap leader kama Ruto, kamuhonga vipesa ili ionekane anaweza pia akajenga mombasa lkn hakuna kitu kama icho. Dangote sio kichaa na anajua kama atajenga refinery mombasa atakula hasara ambayo itamyumbisha sn mana kama ataijenga Kenya ipo siku kuna refinery itajengwa Tanzania, so hawezi kuwa chizi kama wewe.
Bongolala, leo bakuli hazina shida? π€£π€£π€£π€£umeuliza habari ya leo nkakwambia Nzuri, then tuonyeshe foldable seats zenu
Leo bakuli imekuwa nzuri? π€·πnzuri, ebu tuone za RAO pia
Wewe soja, predictions zako zote hukua wrong.Hakuna namna refinery ni lazima ijengwe Tanga mtake msitake, anachokifanya Dangote ni kutumia siasa ili alegezewe kamba apate unafuu, kwamba kwenye makubaliano GoT ifanye vile anataka yeye, na ndiyo mana anamtumia cheap leader kama Ruto, kamuhonga vipesa ili ionekane anaweza pia akajenga mombasa lkn hakuna kitu kama icho. Dangote sio kichaa na anajua kama atajenga refinery mombasa atakula hasara ambayo itamyumbisha sn mana kama ataijenga Kenya ipo siku kuna refinery itajengwa Tanzania, so hawezi kuwa chizi kama wewe.
Imagine mradi mkubwa kama huo Rais wala hayupo hapo, wakati nchi zingine kama ukunduni Rais anazindua nguzo za umeme. πππile barabara ya six lanes inajengwa hapa. ππΎ DOM city. View attachment 3590744View attachment 3590745Leo mkandarasi alimwaga wino. ππΎView attachment 3590748imagine 32km road halafu ni 6 lanes .. tena inajengwa Dom.? Sikuwahi kudhani kama kuna siku tutashuhudia miradi ya kinyama hivi ikifanyika Dom.
So ulikuwa unatupigia kelele kwa Kitu haiko?ile barabara ya six lanes inajengwa hapa. ππΎ DOM city. View attachment 3590744View attachment 3590745Leo mkandarasi alimwaga wino. ππΎView attachment 3590748imagine 32km road halafu ni 6 lanes .. tena inajengwa Dom.? Sikuwahi kudhani kama kuna siku tutashuhudia miradi ya kinyama hivi ikifanyika Dom.
Huyu Watchie alihepa wakati wa maandamano ya kwao bada ya kuona Jeshi la Museveni ndani ya nchi yake . Akatukana Jeshi La Tanzania akawaita masufuria ( like we do)β¦. Sasa anarudi na kifua mbele like we forgot about all that β¦πππWewe soja, predictions zako zote hukua wrong.
Nimemwambia a ionyeshe any developed country with less domestic debts akashindwaπππ€£US debt is currently 38 trillΓ³n dollars ( Ouch!)β¦ and 75% of it is domestic. ( I own US debt through my Tressury bonds)β¦ thatβs same trajectory as Kenya. And thatβs why Kenya will never collapse economically except for the domestic challenges or slow growth because domestic borrowing stimulates growth if not stolen under corruption. The difference between Kenya and Tanzania is the auctioneer hammer β¦ Tanzania is at risk while Kenya is not.
I usually give them simple education like thisπKenya's GDP at 4.5% is growing faster than bongoslum GDP at 6%. Si uchawi ni hesabu.
Such a small port β¦ and 3 blue towers ..
Hawezi β¦Nimemwambia a ionyeshe any developed country with less domestic debts akashindwaπππ€£
Kila mtu anajua unaumiaSuch a small port β¦ and 3 blue towers ..
Unajitia ulikua hujui kinachoendelea.? au unatafuta pakujipa faraja.? πππSo ulikuwa unatupigia kelele kwa Kitu haiko?
Tena anaumia maumivu makali mno. πππKila mtu anajua unaumia
Aisee Dom inakimbia mno. Imagime all the projects in less than 10 years. Kuna miji huko ukunyani iko Tangu utawala wa Sultan Said Sayid, hazina walau a single road with six lanes. πππ halafu tunaambiwa eti ni developed cities.Imagine mradi mkubwa kama huo Rais wala hayupo hapo, wakati nchi zingine kama ukunduni Rais anazindua nguzo za umeme. πππ
Hii hesabu bhana. πππ huu ni utaahira au ni nini.? Ni kuchanganyikiwa.?I usually give them simple education like thisπ
7% of 100= 7
4.5% of 1000= 45
Shida Yao kuelewa ndio akili yako imekataa.
Anakuja kujipoza eti bandari ya Dar es salaam ndogo!!! mjinga kabisa. Huyu mwaiofhawaii hajui Tanzania ina under report vitu vyake ili yasije yakatokea machafuko huko kenya.Tena anaumia maumivu makali mno. πππ
Watchman muoga. π πHuyu Watchie alihepa wakati wa maandamano ya kwao bada ya kuona Jeshi la Museveni ndani ya nchi yake . Akatukana Jeshi La Tanzania akawaita masufuria ( like we do)β¦. Sasa anarudi na kifua mbele like we forgot about all that β¦πππ