Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe wamepewa renders za AI. Hakuna designers, sasa sijui constructors watakuwa wanafuata maelezo ya AI ama?🤣🤣🤣😂

View: https://x.com/i/status/2055250439487070569

Cheki uwanja wenyewe ni wa round.🤣😂
11.jpg
 
Hii ni AI bro, unataka kuingia box ya hawa wendazimu?😂😂
Yani pesa ya kulipa architecture imewashinda yet they want us to believe that wataweza kujenga hiyo stadium?🤣🤣😂

Na lakini, the management of the club didn't review those AI images for any errors kabla wazipost online?🤣🤣😂🤣
 
A logistic hub is more than a cargo hub, you dumb.
Usiwe mjinga nimekuambia they are linked not the same. A Cargo hub is located at the port of entry such as airports or ports or railway depots, they are bigger, busier and used for receiving, sorting and moving freight. Logistic hubs are mostly warehouses, where goods are stored, processed, packed and distributed. JKIA is the biggest Cargo hub in Africa, Mombasa port is the biggest and busiest port in the region, Nairobi ICD is the biggest dry port in the region. Sasa wewe kwa akili zako timamu unaona kama bongoslum inaweza Kenya kwa logistic hubs yet hizo ndio zinatumika kama supply nodes for the ports.
 
Atakutajia EALC yet hakuna any logistic activity happening there 😂😂🤣
 
Yani pesa ya kulipa architecture imewashinda yet they want us to believe that wataweza kujenga hiyo stadium?🤣🤣😂

Na lakini, the management of the club didn't review those AI images for any errors kabla wazipost online?🤣🤣😂🤣
Shida sii management, shida ni Bongolala. Yani management inavyojua Bongolala ilijua wataamini tu - bahati mbaya mtandaoni kuna Wakenya na Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania wenye wamechanuka kiasi.🤣🤣😂🤣
 
Uliona vile baboonman alikimbilia kupost hizo AI generated images hata kabla ajafanya investigation?🤣😂😂🤣
 
Kwa mawazo ya hawa nyang'au wa JF nina hakika kabisa Ruto atakuwa ni tutam na sio wantam kama Riggy G anavyojiaminisha😎
 
Back
Top Bottom