Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio comeback yako hiyo ya kishamba ivi unajua maana ya logistic hub/park kama uliyosema hapo mwanzo? A cargo hub is not a logistics hub. Lete hapa logistic hub from Kunya acha kurukaruka uanzishe mjadala wewe uhamishe magoli wewe hapa nakamata kende na vise siachii.
Sasa kwani unadhani hio Cargo hub inakua linked na nini? Bongolala ushamba itawamaliza.
 
wacha kua na hopes,hii kitu itajengwa mombasa...Dangotee mara mingi alitaka kuja kufanya biashara Kenya tatizo ni alikua akisumbuliwa na serikali ya uhuru. Ruto si mjinga ukiskia akisema hao pia kuna venye watachangia pia hao wapate kitu jua ashapiga hesabu zake..anawapumbaza..but behind the doors the deal is sealed.Ruto wont let this slide especially venye kuna campaighn zenye zinakuja..hizi ndio zitakua project atatumia..
Kampeni zenu huwa zina feli mara zote, kumbuka ya bomba la mafuta na ya Odinga kuwa mwenye kiti wa Au🤣
 
Hadi kufikia 2028 Tz itakua na viwanja Saba vyenye standards za CAF.

1. Lupaso stadia
2. Dom stadia
3. Arusha stadia
4. Fumba stadia
5. Yamga stadia
6. Amani stadia
7. Gombani stadia

Vs Two lavid stadias in kunyarenda 😂😂😂
 
Barabra ya njia sita hii ni from city center to Chamwino. Kuna vimji vya ukunduni vinajisifu maendeleo kwa kujemga affordable housing projects. 😂😂😂😂
 
😂😂 mimi Simba mkuu, nime kubali tu kuona Tz tunakimbiza watu wa ukunduni

Nimemskia Raisi akisema ujenzi wa uwanja wao unaanza kesho, kwamaana hiyo 2028 tunakua na uwanja mwingine mkubwa standards za FIFA in Dar.

Makunya tunayaacha mbali mno kiviwanja vya mpira. 😂😂 hiyo ndio furaha yangu.
mbona mnaweka ubao wa 5:1?
 
The most modern stadium in East Africa.

1000271882.jpg
 
Back
Top Bottom