stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 38,006
- 37,558
Waache woga tu. Tupo na timu borasema hili kundi mwanangu daah, hawajatuwekea ata kibonde mmoja 😭
ni kwel ila mashindano hua kama umeingia mara ya kwanza kunakuaga na kale kauoga flan iviWaache woga tu. Tupo na timu bora
Sasa mbona wengi wanaopinga mitandaoni ni Watanzania?Shida sii management, shida ni Bongolala. Yani management inavyojua Bongolala ilijua wataamini tu - bahati mbaya mtandaoni kuna Wakenya na Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania wenye wamechanuka kiasi.🤣🤣😂🤣
lakini kwa Teargass its the most modern in the region 😂
View: https://x.com/Wanjiru2027/status/2055288397057442262?s=20
lakini mnaenda kwa huruma tuEbu tuonyeshe penye FIFA wamesema. Ama wewe unaokota Tu tweets za chokoraa kama wewe?
Yani watanzania ni wajinga kweli kweli. Kila mwaka wanapewa render mpya😂🤣🤣😂
View: https://x.com/i/status/2055346693902614616
So hii ndio statement ya FIFA ATI Talanta Stadium is not viable?lakini mnaenda kwa huruma tu
![]()
None of Kenya’s stadiums meet Afcon 2027 standards — Caf report
The situation is similar in Uganda, with CAF report revealing that as of February 2026, none of the country’s four proposed stadiums fully meet Category 4 requirements.citizen.digital
This is one gigantic frying pan for cooking up some dog meat!
Shauri yako Bwana Comrade Mapepo.This is one gigantic frying pan for cooking up some dog meat!