Analilia link Singida ili apate access ya Rwanda Burundi and DRC 🤣🤣🤣hata hivyo kuunganisha hizi reli mbili ni kazi sana
1. Mifumo ya nishati ni tofauti umeme vs Diesel
2. mifumo ya control ETCS European Train Control System vs chinese
3. continuous welded vs jointed
4. design specification ni tofauti Tz 35 tons per axle while kenya 25 tons per axle
Sasa train ya SGR ya Tanzania ikiwa loaded ikienda Kenya itavunjavunja barabara yote ya reli in short hakuna muunganiko wa reli hapa too many deviation on specs