AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,283
- 3,200
Haya mambo yanawauma sana wakenya. Poleni
View: https://x.com/The_EastAfrican/status/2052349967726227738?s=20
Haya ndio mambo!
Karne hii tuna focus kwenye sustainable transport. Umeme na gesi kulinda mazingira.
Sio Kasongo anatuletea habari za Treni za makaa ya mawe huko tsavo kuja kutuchafulia mazingira huku.