Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kulia ulie tu, me sina huruma. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Budget kubwa lakini anaefanya vizuri ground ni Tz. Kwahyo ni upumbavu tu.
Anaefanya vizuri ground ninTzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

1000257125.jpg
 
Pale ocean road nilipita jana nimeona wamevunja zile nyumba zote za NHC zilizokuwa kando ya barabara jirani na Agah khan hospital, halafu ni kama kuna ujenzi jnaendelea ndani, wamezungusha bati. babayao255 any idea.?
 
Anaefanya vizuri ground ni TzπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3584579View attachment 3584580
Unaniogopa sana. πŸ˜‚πŸ˜‚
According to our dear baboon aka Traveller D, anaefanya vizuri kwa ground ni Tz.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡


View: https://x.com/i/status/2050545128150888948

Ngoja nikuelimishe. Tz ni kubwa karibu mara mbili ya ukubwa wa kitaifa chenu kunya. Haiwezi kuwa na barabara za lami kila kona. Kwahilo wala usetegemee kuliona. Ila ukweli haubadilishwi kwa makasiriko yako. Tz ni leader.. we kama utaamua kulia lia tu sina cha kukusaidia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaniogopa sana. πŸ˜‚πŸ˜‚

Ngoja nikuelimishe. Tz ni kubwa jaribu mara mbili ya ukubwa wa kitaifa chenu kunya. Haiwezi kuwa na barabara za lami kila kona. Kwahilo wala usetegemee kuliona. Ila ukweli haubadilishwi kwa makasiriko yako. Tz ni leader.. we kama utaamua kulia lia tu sina cha kukusaidia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anaefanya vizuri kwa ground ni Tz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡


View: https://x.com/i/status/2046228067966763060

Vs
1000263370.jpg
 
Back
Top Bottom