Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,068
- 5,448
Kikwete bungeni Kenya 2015 nadhani hii. 👇🏾 kwa wale viande akina mwaiofhawaii suala la Ruto kuja bungeni Tz sio jambo geni, alishawahi kuja Kikwete huko na kuwapiga lectuure wapuuzi wa kikunya kama kawaida yetu. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DXtjGH5gSyF/?igsh=ZGw4eHhhdzBudGNz.
View: https://www.instagram.com/reel/DXtjGH5gSyF/?igsh=ZGw4eHhhdzBudGNz.